-
Polisi ya Nigeria yaanzisha wimbi jipya la ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky sambamba na kuwadia Muharram
Sep 01, 2019 03:22Sambamba na kuwadia mwezi wa Muharram, jeshi la polisi nchini Nigeria limetoa amri ya kushadidishwa ukandamizaji dhidi ya wafuasi na waungaji mkono wa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Magaidi wa kaskazini mwa Nigeria waua raia 11
Aug 30, 2019 07:57Magaidi wa Nigeria wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameua raia wasiopungua 11 huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Njama mpya za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Zakzaky
Aug 29, 2019 07:48Serikali ya Nigeria imeanzisha njama mpya dhidi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky na kudai kwamba eti anapanga njama za mapinduzi.
-
Watu zaidi ya 50 watekwa nyara kaskazini magharibi mwa Nigeria
Aug 29, 2019 03:17Watu wasiojulikana wamewateka nyara raia wasiopungua 50 katika shambulizi walilolifanya kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Watu 11 watekwa nyara kaskazini mwa Cameroon
Aug 23, 2019 02:27Wanamgambo wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Boko haram wamewateka nyara watu 11 katika eneo moja la kaskazini mwa Cameroon.
-
Watu 16 wauawa katika mashambulio dhidi ya vijiji kadhaa nchini Nigeria
Aug 21, 2019 03:21Watu wasiopungua 16 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kushambulia vijiji kadhaa katiika jimbo la Katsina kaskazini mwa Nigeria.
-
Waislamu waandamana Abuja, Nigeria wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Aug 20, 2019 22:21Waislamu katika mji wa Abuja nchini Nigeria wameandamana wakitaka kuachwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Serikali ya Nigeria yaendeleza njama dhidi ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo
Aug 20, 2019 07:38Askari usalama wa Nigeria wameendeleza vitimbi na njama zao dhidi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na kumpeleka mahala pasipojulikana.
-
Njama ya serikali ya Nigeria; safari ya kitiba ya Sheikh Zakzaky yakatizwa
Aug 17, 2019 06:41Katika hali ambayo Waislamu wa Nigeria walikuwa na matumaini makubwa ya kutibiwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakayi ya Kiislamu ya Nigeria huko India, serikali ya Niigeria imetoa mashinikizo na kumlazimu sheikh huyo na mkewe kurea mjini Abuja.
-
Serikali ya Nigeria inajaribu kumuua Sheikh Zakzaky
Aug 16, 2019 02:33Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imetangaza kuwa, serikali ya nchi hiyo inajaribu kumuua kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.