Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Kuruhusiwa Sheikh Zakzaky kwenda India; matunda ya juhudi za Waislamu wa Nigeria

    Kuruhusiwa Sheikh Zakzaky kwenda India; matunda ya juhudi za Waislamu wa Nigeria

    Aug 13, 2019 07:09

    Hatimaye juhudi za Waislamu wa Nigeria zimezaa matunda baada ya mahakama nchini Nigeria kuruhusu Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo asafiri kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu.

  • Madaktari wa nchi 7 waiandikia barua serikali ya Nigeria, wataka Sheikh Zakzaky apewe matibabu

    Madaktari wa nchi 7 waiandikia barua serikali ya Nigeria, wataka Sheikh Zakzaky apewe matibabu

    Aug 11, 2019 22:14

    Makumi ya madaktari kutoka nchi 7 duniani wameiandikia barua serikali ya Nigeria wakikumbusha hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky na kutaka apewe matibabu haraka iwezakanavyo.

  • Serikali ya Nigeria yaweka masharti mapya ya kuachiwa Sheikh Zakzaky kwa ajili ya matibabu

    Serikali ya Nigeria yaweka masharti mapya ya kuachiwa Sheikh Zakzaky kwa ajili ya matibabu

    Aug 09, 2019 02:48

    Serikali ya Nigeria imetangaza masharti mapya kwa ajili ya kutoa ruhusa ya safari kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.

  • Save the Children: Zaidi ya watoto 500 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola huko DRC

    Save the Children: Zaidi ya watoto 500 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola huko DRC

    Aug 08, 2019 03:43

    Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Watoto la Save the Children limetangaza kuwa, zaidi ya watoto 500 wamekufa kwa maradhi ya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tangu ugonjwa huo ulipoanza kushuhudiwa nchini humo mwaka mmoja uliopita.

  • Juhudi za Waislamu wa Nigeria na kuachiliwa kwa masharti Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Juhudi za Waislamu wa Nigeria na kuachiliwa kwa masharti Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Aug 07, 2019 02:11

    Baada ya kupita mwezi mmoja tangu kutangazwa habari ya kuzidi kuzorota hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na juhudi za Waislamu wa nchi hiyo za kutaka kuachiliwa huru mwanaharakati huyo, hatimaye Jumatatu ya juzi tarehe 6 Agosti, Mahakama Kuu ya Kaduna ilitoa hukumu ya kuachiwa huru mwanaharakati huyo ili asafiri kuelekea nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.

  • Askari usalama Nigeria watawanya maandamano ya

    Askari usalama Nigeria watawanya maandamano ya "Mapinduzi Sasa" huko Lagos

    Aug 05, 2019 22:26

    Askari usalama wa Nigeria jana Jumatatu waliwatawanya washiriki wa maandamano yaliyopewa jina la "Mapinduzi Sasa" katika mji mkuu wa nchi hiyo, Lagos.

  • Mahakama ya Kaduna Nigeria yatoa hukumu ya kuachiliwa Sheikh Zakzaky kwa ajili ya matibabu

    Mahakama ya Kaduna Nigeria yatoa hukumu ya kuachiliwa Sheikh Zakzaky kwa ajili ya matibabu

    Aug 05, 2019 06:56

    Mahakama Kuu ya Kaduna nchini Nigeria leo imetoa hukumu ya kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu yay Nigeria na kuruhusiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi.

  • OCHA: Hali ya kibinadamu ni mbaya kaskazini mashariki mwa Nigeria

    OCHA: Hali ya kibinadamu ni mbaya kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Aug 02, 2019 02:48

    Umoja wa Mataifa na maafisa wa mashirika ya utoaji misaada wanasema kuwa, hali ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria ni mbaya ikiwa ni miaka 10 tangu kuzuka machafuko katika maeneo hayo.

  • Askari wasiopungua 25 wa Nigeria na Chad wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria

    Askari wasiopungua 25 wa Nigeria na Chad wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria

    Aug 01, 2019 20:47

    Kwa akali askari 25 wameuawa katika shambulio la kuvizia lililofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria.

  • Kupigwa marufuku shughuli za Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na taathira zake

    Kupigwa marufuku shughuli za Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na taathira zake

    Jul 29, 2019 05:32

    Wakati Waislamu wa Nigeria wakiendeleza jitihada za kuhakikisha kwamba kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anaachiwa huru, Rais wa nchi hiyo amepiga marufuku shughuli zote za harakati hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS