-
Wimbi jipya la wakimbizi laibuka kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia kuongezeka machafuko
Jan 24, 2019 00:36Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, kufuatia kuongezeka machafuko kaskazini mashariki mwa Nigeria, kwa mara nyingine tena makumi ya maelfu ya raia wamelazimika kuwa wakimbizi katika maeneo hayo.
-
Waislamu Nigeria washinikiza kuachiwa huru mwanahabari Marzieh Hashemi
Jan 22, 2019 04:26Waislamu na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Nigeria wamefanya maandamano kulaani kukamatwa na kuwekwa kizuizini nchini Marekani Marzieh Hashemi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa kanali ya kimataifa ya Press TV ya Iran.
-
Mapigano ya watu wenye silaha yashtadi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Jan 19, 2019 04:03Makundi yenye silaha yamezidisha mashambulizi yao nchini Nigeria ambapo katika kipindi cha wiki tatu zilizopita zaidi ya askari 100 wa nchi hiyo wameuawa au kutekwa nyara.
-
Makumi wapoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta Nigeria
Jan 13, 2019 00:08Makumi ya watu wanahofiwa kupoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta katika eneo la Odukpani, jimboni Cross River kusini mashariki mwa Nigeria.
-
Jinai za magaidi wa Boko Haram zimeshika kasi nchini Nigeria
Jan 10, 2019 21:43Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, magaidi wa Boko Haram wanawalazimisha wananchi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kuzihama nyumba zao.
-
Wanigeria zaidi ya elfu 30 wakimbia makazi yao kaskazini mwa nchi hiyo
Jan 10, 2019 04:41Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa makumi ya maelfu ya watu wamelazimika kukimbia nyumba na makazi yao huko kaskazini mwa Nigeria kutokana na kushadidi ghasia na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Rais wa Nigeria aahidi uchaguzi huru, wapiga kura milioni 84 wasajiliwa
Jan 08, 2019 04:16Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ameahidi kuwa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi ujao utakuwa huru na wa haki.
-
Upinzani wakosoa uteuzi wa mpwa wa Rais wa Nigeria katika Tume ya Uchaguzi
Jan 06, 2019 03:40Vyama vya upinzani nchini Nigeria vimepinga hatua ya kuteuliwa mtu wa karibu wa familia ya Rais Muhammadu Buhari wa nchi hiyo kuwa ofisa wa ngazi za juu wa Tume ya Uchaguzi, mwezi mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi wa rais katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wanajeshi 10 wauawa katika mpaka wa Niger na Nigeria
Jan 01, 2019 04:37Siku moja baada ya raia 10 kuuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulio la kigaidi, askari kumi waliokuwa katika operesheni ya pamoja wameuawa na watu waliokuwa wamebeba silaha katika mpaka wa nchi hiyo na Niger.
-
Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani yafanyika nchini Nigeria
Dec 31, 2018 04:35Mashindano ya 33 ya kitaifa ya kila mwaka ya Qur'ani nchini Nigeria yanaendelea kufanyika kwa kushirikisha majimbo 33 ya nchi hiyo katika fani sita za Qur'ani tukufu.