-
Watu 10 wauawa kwa shambulio la Daesh kaskazini mashariki mwa Nigeria
Dec 30, 2018 11:06Raia 10 wameauawa kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulio la wanamgambo wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Wanajeshi 14 wauawa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigera
Dec 26, 2018 03:54Wanajeshi wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria wameuawa kufuatia shambulio la kkundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Yobe kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Boko Haram wafanya shambulizi jingine mashariki mwa Nigeria
Dec 17, 2018 23:56Genge la kigaidi na la ukufurishaji la Boko Haram limevamia na kushambulia kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuchoma moto nyumba za wanakijiji baada ya kuwashambulia kwa risasi.
-
Maandamano makubwa ya kupinga Uzayuni yafanyika nchini Nigeria
Dec 17, 2018 11:46Maelfu ya wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano dhidi ya Uzayuni kusini magharibi mwa nchi hiyo na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa taifa madhulumu la Palestina.
-
Wanajeshi wa Nigeria wasiopungua 12 wameuliwa katika mapigano na kundi la ISWA
Dec 16, 2018 23:11Wanajeshi wa Nigeria wasiopungua 12 wameuliwa na makumi ya wengine hawajulikani walipo baada ya kukabiliana na wanamgambo waliojitenga na kundi la Boko Haram waitwao ISWA huko kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno. Hayo yameelezwa na duru za kijeshi za nchi hiyo.
-
Nigeria yaitimua UNICEF kwa tuhuma za kuwapa mafunzo majasusi wa Boko Haram
Dec 15, 2018 03:31Jeshi la Nigeria limesimamisha shughuli za Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) katika eneo la kaskazini mashariki kwa nchi, kwa tuhuma kuwa maafisa wake wanawapa mafunzo na kushirikiana na majasusi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Hraram.
-
HRW yataka kushtakiwa askari wanaowakandamiza Waislamu Nigeria
Dec 12, 2018 09:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa mwito wa kufunguliwa mashitaka wanajeshi wa Nigeria wanaowakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Wanajeshi wawili wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Dec 10, 2018 03:19Maafisa usalama wa Nigeria wametangaza kuwa, shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo limepelekea wanajeshi wawili kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Homa ya Manjano yaua watu 9 nchini Nigeria
Dec 06, 2018 11:21Mripuko wa homa ya manjano nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa katika jimbo la Edo kusini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Polisi ya Nigeria yaua 'majambazi' 100 jimboni Zamfara
Dec 01, 2018 04:38Polisi ya Nigeria imedai kuwa imefanikiwa kuwaangamiza majambazi 100 katika operesheni iliyofanyika katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi.