Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Gaidi wa Boko Haram ajiripua na kuua watu 14 msikitini nchini Nigeria

    Gaidi wa Boko Haram ajiripua na kuua watu 14 msikitini nchini Nigeria

    Jan 03, 2018 12:03

    Mtu aliyejifunga bomu mwilini amejiripua na kuua watu wasiopungua 14 ndani ya msikiti mmoja katika mji wa Gamboru ulioko kwenye jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria leo.

  • Watu 50 wauawa katika mapigano ya kikabila kaskazini mwa Nigeria

    Watu 50 wauawa katika mapigano ya kikabila kaskazini mwa Nigeria

    Jan 03, 2018 00:54

    Watu wasiopungua 50 wameuawa kaskazini mwa Nigeria na makumi ya wengine klujeruhiwa kufuatia mapigano ya kikabila yaliyozuka baina ya makabila mawili.

  • Kiongozi wa Boko Haram aibuka, adai wamehusika katika mashambulizi

    Kiongozi wa Boko Haram aibuka, adai wamehusika katika mashambulizi

    Jan 02, 2018 11:30

    Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, Abubakar Shekau ametoa kanda mpya ya video na kudai kuwa kundi hilo ndilo lililohusika na wimbi la mashambulizi ya bomu katika sherehe za kufunga mwaka, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Watu wenye silaha wawashambulia Wakristo kusini mwa Nigeria, 14 wauawa

    Watu wenye silaha wawashambulia Wakristo kusini mwa Nigeria, 14 wauawa

    Jan 02, 2018 04:25

    Polisi nchini Nigeria imetangaza kwamba, watu wenye silaha wamewashambulia kwa kuwapiga risasi Wakristo kusini mwa nchi hiyo.

  • Kuendelea mashambulizi ya kigaidi nchini Nigeria; jimbo la Kaduna lashambuliwa

    Kuendelea mashambulizi ya kigaidi nchini Nigeria; jimbo la Kaduna lashambuliwa

    Jan 02, 2018 00:43

    Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa watu wawili wameuawa katika mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea kaskazini mwa nchi hiyo.

  • UNHCR kuimarisha shughuli zake kusini mwa Nigeria

    UNHCR kuimarisha shughuli zake kusini mwa Nigeria

    Dec 30, 2017 01:12

    Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR ametangaza kuwa, shirika hilo limeazimia kuimarisha shughuli zake kusini mwa nchi ya Nigeria ya Magharibi mwa Afrika.

  • Watu wasiopungua 6 wauawa katika mlipuko  kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Watu wasiopungua 6 wauawa katika mlipuko kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Dec 29, 2017 00:26

    Watu wasiopungua sita wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa katika shambulio la kujitoa muhanga lililotekelezwa sokoni katika kijiji kimoja karibu na mji wa Maiduguri jimboni Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Watu wenye silaha wauwa wanavijiji 10 nchini Nigeria

    Watu wenye silaha wauwa wanavijiji 10 nchini Nigeria

    Dec 26, 2017 11:30

    Watu waliokuwa na silaha wamewauwa watu kumi katika mashambulizi yaliyofanywa katika vijiji viwili vya wakazi wa jamii ya Kikristo katika jimbo la Kaduna huko kaskazini mwa Nigeria.

  • Njama za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Njama za serikali ya Nigeria dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Dec 26, 2017 08:53

    Mjumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo inatekeleza njama za kumuua shahidi Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa harakati hiyo.

  • Jeshi la Nigeria laua wanamgambo 20 wa kundi la kigaidi la Boko Haram

    Jeshi la Nigeria laua wanamgambo 20 wa kundi la kigaidi la Boko Haram

    Dec 20, 2017 12:49

    Jeshi la Nigeria limetangaza leo kuwa limewaua wanamgambo 20 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika operesheni linazoendelea kufanya ili kutokomeza mabaki ya magaidi hao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS