Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • 7 wakamatwa Italia kwa magendo ya wanawake wa Nigeria

    7 wakamatwa Italia kwa magendo ya wanawake wa Nigeria

    Dec 19, 2017 10:06

    Polisi nchini Italia imewatia mbaroni watu saba wanaotuhumiwa kuhusika na magendo ya wanawake wa Nigeria kwa ajili ya kuwaingiza katika biashara haramu ya ukahaba katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Msafara wa maafisa wa UN Nigeria washambuliwa, 4 wauawa

    Msafara wa maafisa wa UN Nigeria washambuliwa, 4 wauawa

    Dec 18, 2017 04:02

    Maafisa wanne wa Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa WFP wameuawa baada ya msafara wao kuviziwa na kushambuliwa kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Wanawake wanaovaa Hijabu Nigeria wanasumbuliwa

    Wanawake wanaovaa Hijabu Nigeria wanasumbuliwa

    Dec 18, 2017 01:03

    Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Nigeria amekosoa namna wanawake Waislamu wanaovaa Hijabu nchini humo wanavyosumbuliwa.

  • Mji wa London washuhudia maandamano ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Mji wa London washuhudia maandamano ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Dec 14, 2017 03:22

    Maelfu ya wakazi wa mji mkuu wa Uingereza London, wameandamana wakitaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.

  • Boko Haram waua watu wasiopungua 13 katika jimbo la Borno nchini Nigeria

    Boko Haram waua watu wasiopungua 13 katika jimbo la Borno nchini Nigeria

    Dec 02, 2017 11:35

    Washambuliaji wa kujitoa mhanga wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wamewaua watu wasiopungua 13 katika shambulio walilofanya leo kwenye soko moja katika mji wa Biu ulioko katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Kamanda wa Boko Haram atiwa mbaroni, wenzake 4 wauawa, mateka 212 wakombolewa

    Kamanda wa Boko Haram atiwa mbaroni, wenzake 4 wauawa, mateka 212 wakombolewa

    Nov 29, 2017 23:55

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewakomboa raia wengine 212 waliokuwa wakishikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika msitu wa Sambisa.

  • AI yataka Shirika la Mafuta la Shell lichunguzwe kuhusu ukiukaji haki za binadamu Nigeria

    AI yataka Shirika la Mafuta la Shell lichunguzwe kuhusu ukiukaji haki za binadamu Nigeria

    Nov 29, 2017 00:54

    Shirika la mafuta la Uingereza-Uholanzi la Royal Dutch Shell linatakiwa kuchunguzwa kwa makosa ya jinai kufuatia kuhusika kwake katika ukiukwaji wa haki za binadamu katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Nigeria la Ogoniland katika muongo wa 1990.

  • Boko Haram waua wanajeshi watatu kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Boko Haram waua wanajeshi watatu kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Nov 27, 2017 11:33

    Duru za usalama za Nigeria zimetangaza habari ya kuuawa wanajeshi watatu katika shambulizi la kigaidi lililofanywa na kundi la Boko Haram katika mji wa Magumeri, wa jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Kuuliwa Waislamu msikitini katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga nchini Nigeria

    Kuuliwa Waislamu msikitini katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga nchini Nigeria

    Nov 22, 2017 04:23

    Watu wasiopungua 50 wameaga dunia katika mlipuko wa bomu uliotokea msikitini kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Watu 50 wauawa katika mripuko wa bomu msikitini nchini Nigeria

    Watu 50 wauawa katika mripuko wa bomu msikitini nchini Nigeria

    Nov 21, 2017 10:56

    Kwa akali watu 50 wameuawa katika shambulio la bomu dhidi ya msikiti mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS