Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la jana la Boko Haram Nigeria yaongezeka

    Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la jana la Boko Haram Nigeria yaongezeka

    Nov 16, 2017 04:32

    Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la Jumatano ya jana lililofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka na kufikia watu 18.

  • Waislamu wa Nigeria wawazika mashahidi waliouawa na polisi karika Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Waislamu wa Nigeria wawazika mashahidi waliouawa na polisi karika Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Nov 13, 2017 01:27

    Miili ya mashahidi wa shambulizi la jeshi la Nigeria dhidi ya washiriki wa marasimu ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as) imefanyiwa mazishi na Waislamu wenzao nchini humo.

  • Polisi Nigeria yatumia mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS

    Polisi Nigeria yatumia mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS

    Nov 10, 2017 23:43

    Polisi nchini Nigeria imetumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuvunja matembezi ya amani ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu Abuja.

  • Kuendelea uchukuaji hatua za kikatili na za ukandamizaji dhidi ya Waislamu Nigeria

    Kuendelea uchukuaji hatua za kikatili na za ukandamizaji dhidi ya Waislamu Nigeria

    Nov 07, 2017 23:18

    Katika muendelezo wa hatua kandamizi zinazochukuliwa dhidi ya Waislamu wa Nigeria, watu wasiopungua watatu wameuliwa baada ya polisi kuwafyatulia risasi wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

  • Askari wa Nigeria wawaua shahidi Waislamu wawili katika maombolezo ya Imam Hussein AS

    Askari wa Nigeria wawaua shahidi Waislamu wawili katika maombolezo ya Imam Hussein AS

    Nov 06, 2017 05:54

    Askari wa Nigeria wameuhujumu msafara wa waumini waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS katika jimbo la Kano na kuwaua shahidi Waislamu wawili wa madehehbu ya Shia.

  • Tahadhari kuhusu hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria

    Tahadhari kuhusu hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria

    Oct 29, 2017 04:48

    Mwanachama wa ngazi za juu katika Harakati ya Kiislamu Nigeria (INM) ameikosoa serikali kwa kumtesa kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky huku akitahadharisha kuhusu hali mbaya ya afya ya kiongozi huyo.

  • Jeshi la Nigeria laangamiza wanachama kadhaa wa Boko Haram

    Jeshi la Nigeria laangamiza wanachama kadhaa wa Boko Haram

    Oct 27, 2017 23:09

    Jeshi la Nigeria limewaangamiza wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni maalumu ya jeshi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Mke wa kiongozi wa Boko Haram ya Nigeria ameuawa?

    Mke wa kiongozi wa Boko Haram ya Nigeria ameuawa?

    Oct 26, 2017 04:52

    Jeshi la Nigeria linachunguza ripoti zinazoashiria kuwa mmoja wa wake wa kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, Abubakar Shekau ameuawa katika shambulizi la anga la hivi karibuni.

  • Boko Haram yaua wanajeshi sita wa Nigeria jimboni Yobe

    Boko Haram yaua wanajeshi sita wa Nigeria jimboni Yobe

    Oct 26, 2017 01:08

    Kwa akali wanajeshi sita wa Nigeria wameuwa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kushambulia kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Waislamu Nigeria waandamana wakitaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Waislamu Nigeria waandamana wakitaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Oct 23, 2017 10:31

    Waislamu nchini Nigeria wameendeleza maandamano wakitaka Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS