-
Watu 13 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria
Oct 23, 2017 04:24Kwa akali watu 13 wameuawa nchini Nigeria kufuatia shambulio la kigaidi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Boko Haram washambulia msafara wa wanajeshi Nigeria
Oct 19, 2017 10:33Wanajeshi watatu wa Nigeria wameuawa baada ya kushambuliwa na genge la kigaidi na la ukufurishaji la Boko Haram.
-
Larijani: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima
Oct 16, 2017 08:34Spika wa majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, ugaidi ni hatari kubwa kwa usalama wa nchi zote duniani na mapambano dhidi ya uhalifu huo mkubwa yanahitajia ushirikiano wa nchi zote duniani.
-
Rais Rouhani: Azma ya Iran ni kustawisha uhusiano na Bara la Afrika
Oct 15, 2017 01:11Rais Hassan Rouhani amesema kustawisha na kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika hasa Nigeria ikiwa ni nchi rafiki na ya Kiislamu ni miongoni mwa misingi ya sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na akasisitiza kwamba mashirika makubwa ya Kiirani yako tayari kutekeleza miradi ya maendeleo nchini Nigeria.
-
Jumuiya ya Waislamu wa jimbo la Ogun Nigeria yalalamikia marufuku ya hijabu mashuleni
Oct 13, 2017 00:21Jumuiya ya Waislamu wa jimbo la Ogun la kusini magharibi mwa Nigeria wamelalamikia vikali marufuku ya hijabu mashuleni katika jimbo hilo na kuwataka viongozi wa jimbo hilo kuruhusu wanafunzi wasichana wa Kiislamu kuingia katika shule za mji huo wakiwa wamejisitiri kwa vazi hilo la Kiislamu.
-
Kesi ya mamia ya magaidi wa Boko Haram yaanza kusikilizwa Nigeria
Oct 10, 2017 04:42Wizara ya Sheria ya Nigeria imetangaza habari ya kuanza kusikilizwa kesi ya wanachama zaidi ya elfu mbili wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika mahakama mbalimbali za nchi hiyo.
-
Msimamo wa Rais wa Nigeria kuhusiana na makundi yanayotaka kujitenga
Oct 03, 2017 00:30Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesisitiza katika siku ya kuadhimisha uhuru wa nchi hiyo kuwa, hataruhusu nchi yake ianguke mikononi mwa wanaotaka kujitenga.
-
Rais wa Nigeria aiita harakati ya Biafra katika meza ya mazungumzo
Oct 02, 2017 10:45Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria ameitaka harakati inayopigania kujitenga jimbo la Biafra la kusini mashariki mwa nchi hiyo kukaa katika meza moja ya mazungumzo na serikali.
-
Polisi Nigeria wavuruga maombolezo ya Muharram
Oct 01, 2017 04:19Polisi nchini Nigeria wamehujumu na kuvuruga maombolezo ya siku za Muharram katika mji wa Sokoto kaskazini mwa nchi hiyo na kuwatia mbaroni Waislamu sita waliokuwa katika maombolezo hayo.
-
Watu watatu wauawa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria
Sep 28, 2017 12:03Maafisa wa Nigeria wameripoti kuwa watu watatu wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.