Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Cameroon yawatimua wakimbizi laki moja wa Nigeria

    Cameroon yawatimua wakimbizi laki moja wa Nigeria

    Sep 27, 2017 22:59

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali hatua ya Cameroon kuwafukuza nchini wakimbizi zaidi ya laki moja raia wa Nigeria.

  • Boko Haram 1600 kufikishwa mahakamani Oktoba, Nigeria

    Boko Haram 1600 kufikishwa mahakamani Oktoba, Nigeria

    Sep 25, 2017 03:51

    Wizara ya Sheria ya Nigeria imetangaza kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wanaoshikiliwa katika korokoro za nchi hiyo watafikishwa mahakamani Oktoba mwaka huu.

  • Boko Haram yaua watu 9 katika kambi ya wakimbizi Borno, Nigeria

    Boko Haram yaua watu 9 katika kambi ya wakimbizi Borno, Nigeria

    Sep 23, 2017 11:47

    Wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamewaua watu tisa waliokuwa wakiishi katika kambi ya wakimbizi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Serikali Nigeria yaeleza wasiwasi wake kuhusu silaha za magendo nchini humo

    Serikali Nigeria yaeleza wasiwasi wake kuhusu silaha za magendo nchini humo

    Sep 22, 2017 23:06

    Serikali ya Nigeria imetangaza kwamba, ina wasiwasi kuhusu silaha zinazoingizwa kwa wingi nchini humo kupitia njia za magendo.

  • Dola milioni 9.9 zahitajika kukabiliana na kipindupindu Borno Nigeria

    Dola milioni 9.9 zahitajika kukabiliana na kipindupindu Borno Nigeria

    Sep 18, 2017 22:08

    Umoja wa Mataifa na washirika wake wametoa wito kwa wahisani wakihitaji msaada wa dola milioni 9.9 kukabiliana na mripuko wa kipindipindi uliozuka hivi karibuni katika Jimbo la Borno, kaskazini-mashariki mwa Nigeria.

  • Muungano wa wafanyakazi Nigeria watishia mgomo ikiwa serikali itapuuza matakwa yake

    Muungano wa wafanyakazi Nigeria watishia mgomo ikiwa serikali itapuuza matakwa yake

    Sep 15, 2017 22:06

    Muungano mmoja wa wafanyakazi nchini Nigeria umetishia kufanya mgomo wa nchi nzima ikiwa serikali ya Rais Muhammadu Buhari itaendelea kupuuza matakwa yake.

  • Watu 30 waaga dunia katika ajali mbaya ya barabarani nchini Nigeria

    Watu 30 waaga dunia katika ajali mbaya ya barabarani nchini Nigeria

    Sep 15, 2017 09:32

    Kwa akali watu 30 wamepoteza maisha kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo kusini magharibi mwa Nigeria.

  • Nigeria yaanza kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na jeshi

    Nigeria yaanza kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na jeshi

    Sep 12, 2017 22:03

    Tume iliyoundwa na serikali ya Nigeria imeanza kuchunguza ukikwaji wa haki za binadamu uliofanywa na jeshi la nchi hiyo.

  • Ombi la rais wa Nigeria la kujiepusha na kila aina ya ghasia

    Ombi la rais wa Nigeria la kujiepusha na kila aina ya ghasia

    Sep 10, 2017 22:50

    Kufuatia kuuawa idadi kadhaa ya raia wa Nigeria katika moja ya mapigano ya kikabila, Rais Muhamadu Buhari wa nchi hiyo, ametaka kuimarishwa usalama na utulivu nchini sambamba na kuwataka wananchi wajiepushe na vitendo vya utumiaji mabavu na ghasia.

  • Shambulio la Boko Haram laua watu wanane kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Shambulio la Boko Haram laua watu wanane kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Sep 08, 2017 22:52

    Watu wasiopungua wanane wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS