-
Watu 19 wametekwa nyara kusini mwa Nigeria
Sep 08, 2017 12:13Polisi ya Nigeria imesema kuwa, watu 19 waliokuwa ndani ya basi wameshambuliwa na kutekwa nyara na watu waliokuwa na silaha huko katika Bandari ya Harcourt kusini mwa nchi hiyo.
-
Wakimbizi milioni moja Nigeria katika hatari ya kuambukizwa kipindupindu
Sep 08, 2017 02:53Zaidi ya wakimbizi milioni 1.4 nchini Nigeria ambao wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram, hivi sasa wanakabiliwa na hatari ya kuambukizwa kipindipindu.
-
Rais Buhari wa Nigeria kutowania muhula wa pili mwaka 2019
Sep 07, 2017 09:36Waziri mmoja wa ngazi za juu nchini Nigeria amesema Rais Muhamadu Buhari wa nchi hiyo hatagombea muhula wa pili katika kinyang'anyiro cha urais kinachotazamiwa kufanyika mwaka 2019.
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu mauaji ya watu karibu 400 yaliyofanywa na Boko Haram
Sep 05, 2017 02:37Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetangaza kuwa watu karibu 400 wameuawa katika mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuanzia mwezi Aprili mwaka huu huko Nigeria na Cameroon.
-
Waislamu Nigeria walalamikia kuongezeka machafuko ya kikabila
Sep 04, 2017 11:51Mjumbe mmoja wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amelalamikia kuongezeka machafuko ya kikabila katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Waislamu Nigeria waendelea kulalamikia kushikiliwa Sheikh Ibrahim Zakzaky
Sep 03, 2017 09:27Waislamu nchini Nigeria wameendelea kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuendelea kumshikilia kizuizini Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Boko Haram yaua raia 18 katika mpaka wa Nigeria na Cameroon
Sep 01, 2017 22:33Wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameua watu 18 katika shambulizi lililofanywa kwenye eneo la karibu na mpaka wa Nigeria na Cameroon.
-
Mafuriko Nigeria yapelekea watu 110,000 kupoteza makazi
Sep 01, 2017 10:24Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema watu zaidi ya laki moja na elfu kumi wamepoteza makazi yao baada ya kutokea mafuruko katika jimbo la Benue katikati mwa nchi hiyo.
-
Amnesty International: Mashia Nigeria wametoweka katika mazingira ya kutatanisha
Aug 30, 2017 10:56Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty international limetahadharisha kuhusu kutoweka mamia ya Waislamu wa madhehebu ya Shia raia wa Nigeria na limeikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kuhusiana na jambo hilo.
-
Boko Haram waendelea kuwateka nyara raia kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 30, 2017 03:06Kundi la kigaidi la Boko Haram limeendelea kuhatarisha maisha ya raia kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya kuwateka nyara watu kadhaa wa familia moja.