Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Waislamu Nigeria waitaka Marekani kusitisha uuzaji silaha kwa serikali ya Abuja

    Waislamu Nigeria waitaka Marekani kusitisha uuzaji silaha kwa serikali ya Abuja

    Aug 26, 2017 22:10

    Waislamu wa Nigeria wameitumia barua serikali ya Marekani wakiitaka isitishe kuiuzia silaha na zana za kijeshi serikali ya Nigeria.

  • Panya wavamia ofisi ya rais Nigeria, kikao cha baraza la mawaziri chaahirishwa

    Panya wavamia ofisi ya rais Nigeria, kikao cha baraza la mawaziri chaahirishwa

    Aug 23, 2017 09:28

    Kikao cha kwanza cha baraza la mawaziri Nigeria ambacho kilikuwa kifanyike leo baada ya kurejea nyumbani Rais Muhammadu Buhari kutoka likizo ya miezi mitatu ya kitiba Uingereza kimeahirishwa.

  • Shambulio la kigaidi la Boko Haram laua raia wasiopungua sita kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Shambulio la kigaidi la Boko Haram laua raia wasiopungua sita kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Aug 23, 2017 03:17

    Watu wasiopungua sita wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Rais Buhari arejea Nigeria baada ya kuwa nje kwa miezi mitatu

    Rais Buhari arejea Nigeria baada ya kuwa nje kwa miezi mitatu

    Aug 20, 2017 00:13

    Hatimaye Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amerejea nyumbani katika mji mkuu Abuja, baada ya kuwa nje ya nchi kwa miezi mitatu akipata matibabu katika mji mkuu wa Uingereza London.

  • Wasichana zaidi ya 100 wa Chibok warejea uraiani salama

    Wasichana zaidi ya 100 wa Chibok warejea uraiani salama

    Aug 18, 2017 22:02

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa wasichana zaidi ya mia moja waliokuwa wametekwa nyara na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram mwaka 2014 sasa wako tayari kurejea katika maisha ya kawaida baada ya kupata matibabu na huduma za kisaikolojia.

  • Maulama ya Kisuni na Kishia wataka kuweko vita vya kweli dhidi ya magaidi barani Afrika

    Maulama ya Kisuni na Kishia wataka kuweko vita vya kweli dhidi ya magaidi barani Afrika

    Aug 18, 2017 10:35

    Maulama wa Kisuni na Kishia wa Lebanon wamesisitiza udharura wa kuweko vita vya kweli na vyenye mpangilio dhidi ya magaidi katika nchi za Kiafarika.

  • Iran yalaani shambulio la kigaidi lilioua na kujeruhi zaidi ya 100 Nigeria

    Iran yalaani shambulio la kigaidi lilioua na kujeruhi zaidi ya 100 Nigeria

    Aug 16, 2017 22:08

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililosababisha mauaji ya makumi ya watu nchini Nigeria usiku wa kuamkia jana Jumatano.

  • Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Aug 15, 2017 23:57

    Watu 27 wameuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria na wengine 83 kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotekelezwa na wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Wanigeria waandamana, wamtaka Buhari ajiuzulu

    Wanigeria waandamana, wamtaka Buhari ajiuzulu

    Aug 14, 2017 02:50

    Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano makubwa wakitaka Rais Muhammadu Buhari wa nchi hiyo aliyeko London nchini Uingereza arejee nyumbani na kujiuzulu.

  • Wanajeshi wa Nigeria washambulia kambi ya UN katika mji wa Maiduguri

    Wanajeshi wa Nigeria washambulia kambi ya UN katika mji wa Maiduguri

    Aug 11, 2017 21:53

    Jeshi la Nigeria limefanya shambulio la kushtukiza katika kambi ya Umoja wa Mataifa katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ambao ni kitovu cha mapigano kati ya jeshi hilo na wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS