-
Papa alaani mashambulizi dhidi ya watu wasio na hatia huko Nigeria na Jamhuri ya Afrika ya Kati
Aug 09, 2017 12:39Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia amelaani mashambulizi yanayofanywa dhidi ya raia wasio na hatia huko Nigeria na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Boko Haram yaua wavuvi 31 kaskazini mwa Nigeria
Aug 08, 2017 03:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeua makumi ya wavuvi baada ya kuvamia visiwa viwili vya eneo la Ziwa Chad, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Wanigeria waandamana wakimtaka Rais Buhari arejee nchini au ajiuzulu
Aug 07, 2017 22:36Wananchi wa Nigeria wamedanya maandamano wakimtaka Rais Muhammadu Buhari wa nchi hiyo anayepata matibabu kwa zaidi ya miezi mitatu sasa mjini London, Uingereza kwa ugonjwa ambao haujawekwa wazi, arejee nchini au ajiuzulu.
-
Watu wasiopungua 12 wauawa katika shambulio dhidi ya kanisa Nigeria
Aug 06, 2017 11:54Watu wasiopungua 12 wameuawa kusini mashariki mwa Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya watu waliokuwa na silaha kuvamia kanisa moja na kuanza kuwamiminia watu risasi.
-
Raia wa Nigeria wataka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 05, 2017 09:09Wakazi wa mji wa Abuja, mji mkuu wa Nigeria wamefanya maandamano ya amani na kupaza sauti wakitaka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu anayeendelea kushikiliwa na vyombo vya usalama nchini humo.
-
Mabaradhuli 43 wapandishwa kizimbani Nigeria
Aug 05, 2017 03:36Watu 43 wamefikishwa mahakamani nchini Nigeria kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ubaradhuli na mahusiano ya kingono ya jinsia moja.
-
Kongamano la Kimataifa la Quds laanza nchini Nigeria
Jul 30, 2017 10:44Kongamano la Kimataifa la Quds ambalo hufanyika kila mwaka limeanza shughuli zake katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
-
Zaidi ya watu 40 wauawa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigeria
Jul 27, 2017 23:35Zaidi ya watu 40 wameuawa nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Uholanzi yafunga bomba lake la mafuta Nigeria kwa hofu ya uharibifu wa waasi
Jul 25, 2017 23:18Shirila la mafuta la Uholanzi na Uingereza la Royal Dutch Shell, limefunga bomba muhimu la mafuta kusini mwa Nigeria kutokana na ongezeko la vitendo vya uharibifu vinavyofanywa na makundi ya waasi eneo hilo.
-
UN yaitaka serikali ya Nigeria kuwakomboa wasichana wa Chibok
Jul 24, 2017 22:29Kamati ya Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa imeitaka serikali ya Nigeria kuzidisha juhudi za kuwakomboa wanawake na wasichana wote waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram na kuhakikisha wanarudi shuleni bila ya kukabiliwa na unyanyapaa.