-
Machafuko yaendelea kaskazini mashariki mwa Nigeria, watu 8 wauawa
Jul 24, 2017 09:59Watu wanane wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa katika miripuko ya mabomu iliyotokea katika kambi mbili za wakimbizi, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu 33 wauawa katika mapigano ya wakulima na wafugaji nchini Nigeria
Jul 21, 2017 03:33Watu 33 wameripotiwa kupoteza maisha katika mapigano makali baina ya wakulima na wafugaji, katikati mwa Nigeria.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria yatahadharisha kuhusu uwezekano wa kuuawa Sheikh Zakzaky
Jul 20, 2017 00:21Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeitahadharisha serikali ya nchi hiyo kuhusu njama ya aina yoyote ya kutaka kumuua kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa na vyombo vya usalama.
-
Marekani yadai kufuatilia mali zilizoporowa Nigeria katika sekta ya mafuta
Jul 17, 2017 02:36Wizara ya Sheria ya Marekani imetangaza kuwasilisha kesi kwa lengo la kuchukua udhibiti wa mali za baadhi ya mashirika na watu katika sekta ya mafuta ya Nigeria wanaotuhumiwa kuhusika na ufisadi.
-
Watu 19 wauawa katika hujuma ya kigaidi Nigeria
Jul 12, 2017 09:58Watu 19 wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa kufuatilia milipuko kadhaa ya mabomu iliyotokea kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Nigeria yazitaka nchi za G20 kutekeleza majukumu yao kuhusu Afrika
Jul 08, 2017 11:35Nigeria imezitaka nchi wanachama katika kundi maarufu kwa jina la G20 kutekeleza majukumu yao kuhusu bara la Afrika.
-
Watu 150 wauawa katika mapigano ya kikabila Nigeria
Jul 05, 2017 09:58Mapigano ya kikabila yaliyotokea katika jimbo la Cross River lililoko kusini mashariki mwa Nigeria yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 150.
-
Watu tisa wauawa katika shambulizi la kigaidi Maiduguri, Nigeia
Jun 26, 2017 11:44Watu waliokuwa wamejifunga mabomu wamejilipua na kuuwa watu wanne na kujeruhi wengine 13 katika milipuko iliyotokea kwa wakati mmoja katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
DW yalaani ukandamizaji wa polisi ya Nigeria kwa ripota wake alipokuwa akiakisi ukatili dhidi ya Waislamu wa Shia
Jun 26, 2017 03:20Viongozi wa Shirika la Utangazaji la Ujerumani la Deutsche Welle wamekosoa miamala mibaya ya maafisa usalama wa Nigeria dhidi ya ripota wao wakati alipokuwa akiandaa ripoti ya ukandamizaji wa polisi hao dhidi ya maandamano ya Waislamu wa Kishia nchini humo.
-
Rais wa Nigeria ajaribu kutuliza malumbano ya kikabila
Jun 23, 2017 23:16Kaimu Rais wa Nigeria, Profesa Yemi Osinbajo amekutana na viongozi wa maeneo kadhaa kujaribu kuzima malumbano ya kikabila yanayotokota katika nchi hiyo.