-
Shirika la Msalaba Mwekundu latahadharisha kuhusu hali ya Nigeria
Jun 22, 2017 03:33Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, hali ya kibinadamu nchini Nigeria inatia wasiwasi licha ya juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya nchi hiyo.
-
Kwa akali watu 16 wauawa katika shambulio la kujiripua, kaskazini mwa Nigeria
Jun 19, 2017 10:53Habari kutoka Nigeria zinaarifu kwamba, kwa akali watu 16 wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa, katika mashambulizi kadhaa ya kujiripua kwa mabomu katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Waislamu Nigeria waandamana wakitaka kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Jun 15, 2017 10:59Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo wakitaka kuachiwa huu kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Niger yawaokoa wahajiri 92 waliotelekezwa kwenye jangwa la Sahara
Jun 14, 2017 11:03Mamlaka za Niger zimewaokoa wahajiri 92 kutoka Afrika Magharibi waliokuwa wametelekezwa na wafanya magendo ya binadamu kwenye jangwa la Sahara wakijaribu kuvuka mpaka na kuingia nchi jirani ya Libya.
-
Kundi la Boko Haram latangaza kuhusika na shambulio la Maiduguri
Jun 11, 2017 09:26Kundi la kigadi la Boko Haram limetangaza kuwa, wanachama wake ndio waliohusika na shambulio la kigaidi la hivi karibuni katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Uchumi na Usalama; ajenda kuu za kikao cha viongozi wa nchi za Kiafrika na za kaskazini mwa Ulaya
Jun 10, 2017 06:26Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiafrika na za kaskazini mwa bara Ulaya chini ya anwani "Kudhamini Ustawi Endelevu Kupitia Uwekezaji" kimefanyika Abuja mji mkuu wa Nigeria.
-
Washukiwa waliojiunga na Boko Haram wachunguzwa
Jun 09, 2017 03:40Jeshi la Nigeria linawachunguza watu wanaoshukiwa kujiunga na kundi la kigaidi la Boko Haram nchini humo.
-
Watu 14 wauawa katika mashambulio ya Boko Haram nchini Nigeria
Jun 08, 2017 10:43Jeshi la polisi la Nigeria limetangaza kuwa, magaidi wa genge la Boko Haram wamefanya mashambulizi katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno la kaskazini mwa nchi hiyo na kuua watu 14.
-
Boko Haram washambulia Waislamu wakila futari Nigeria
Jun 08, 2017 03:26Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameshambulia vijiji vilivyoko kando kando ya mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria wakati ambapo Waislamu wa mji huo walikuwa majumbani kwao wakila futari.
-
Rais wa Nigeria kureja nyumbani baada ya matibabu London
Jun 06, 2017 23:17Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria anatarajiwa kurejea nyumbani baada ya matibabu ya wiki kadhaa London, Uingereza.