Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Nyumba elfu moja zaharibiwa na mafuriko nchini Nigeria

    Nyumba elfu moja zaharibiwa na mafuriko nchini Nigeria

    Jun 04, 2017 23:55

    Mratibu wa huduma za dharura wa shirika la kimataifa la wahajiri amesema kuwa, nyumba zisizopungua elfu moja zimeharibiwa na mafuriko kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • UN yatahadharisha kuhusu kusimamishwa misaada ya kibinadamu nchini Nigeria

    UN yatahadharisha kuhusu kusimamishwa misaada ya kibinadamu nchini Nigeria

    May 25, 2017 23:24

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, kupunguzwa bajeti za umoja huo kumezikwamisha taasisi zake katika kuendesha miradi mbalimbali ya kimataifa ikiwa ni pamoja na kuwatumia chakula waathirika wa mashambulizi ya kundi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Polisi Nigeria yatumia mabavu kuzima maandamano ya Waislamu

    Polisi Nigeria yatumia mabavu kuzima maandamano ya Waislamu

    May 23, 2017 02:39

    Kwa mara nyingine tena polisi nchini Nigeria imetumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kutawanya maandamano ya wananchama wa Harakati ya Kiislamu nchini humo wanaoshinikiza kuachiwa huru kiongozi wao, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Jeshi la Nigeria laua wanachama 13 wa Boko Haram eneo la Ziwa Chad

    Jeshi la Nigeria laua wanachama 13 wa Boko Haram eneo la Ziwa Chad

    May 21, 2017 09:09

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeendelea kupata pigo kutoka kwa askari wa jeshi la Nigeria, ambapo wanachama 13 wa genge hilo wameuawa kwenye makabaliano mapya yaliyotokea jana katika eneo la Ziwa Chad.

  • Watu sita wauawa katika shambulio la Boko Haram katika mji wa Maiduguri

    Watu sita wauawa katika shambulio la Boko Haram katika mji wa Maiduguri

    May 15, 2017 23:23

    Watu wasiopungua 6 wanaripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Idadi ya walioaga dunia kutokana na homa ya uti wa mgongo Nigeria yapindukia elfu moja

    Idadi ya walioaga dunia kutokana na homa ya uti wa mgongo Nigeria yapindukia elfu moja

    May 11, 2017 10:27

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Nigeria NCDC kimesema idadi ya watu walioaga dunia kufikia sasa kutokana na homa ya uti wa mgongo ni zaidi ya elfu moja.

  • Rais Buhari wa Nigeria arejea London, Uingereza kwa matibabu

    Rais Buhari wa Nigeria arejea London, Uingereza kwa matibabu

    May 08, 2017 02:23

    Muda mfupi baada ya kuonana na wanafunzi wa kike 82 waliokuwa wamewatekwa nyara na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika mji wa Chibok mwaka 2014, mkabala wa kuachiwa huru wafungwa wa kundi hilo, Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ameondoka nchini na kwenda Uingereza kwa ajili ya kile kinachosemwa ni uchunguzi wa kiafya.

  • Watu 26 waaga dunia baada ya mabasi 2 kugongana Nigeria

    Watu 26 waaga dunia baada ya mabasi 2 kugongana Nigeria

    May 07, 2017 08:47

    Kwa akali watu 26 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani katika mji wa Lagos magharibi mwa Nigeria.

  • Wasichana 82 waachiliwa huru na Boko Haram Nigeria kwa kubadilishana na wafungwa wa kundi hilo

    Wasichana 82 waachiliwa huru na Boko Haram Nigeria kwa kubadilishana na wafungwa wa kundi hilo

    May 06, 2017 22:41

    Ofisi ya Rais wa Nigeria imetangaza kuwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limewaachia huru wanafunzi wa kike 82 miongoni mwa wasichana zaidi ya 200 waliokuwa wamewateka nyara katika mji wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wa Chibok mwaka 2014, mkabala wa kuachiwa huru wafungwa wa kundi hilo.

  • Maafisa wawili wa serikali Nigeria wahukumiwa kifungo jela kwa kuuza magunia ya misaada ya chakula

    Maafisa wawili wa serikali Nigeria wahukumiwa kifungo jela kwa kuuza magunia ya misaada ya chakula

    May 05, 2017 03:25

    Maafisa wawili wa serikali ya Nigeria wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kila mmoja kwa kuchukua na kuuza magunia ya mchele yapatayo c300 ya misaada kwa ajili ya watu waliohama makwao kwa sababu ya mapigano na uhaba wa chakula.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS