Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Wanajeshi kadhaa wa Nigeria wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Boko Haram

    Wanajeshi kadhaa wa Nigeria wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Boko Haram

    May 01, 2017 09:20

    Kundi la kigaidi la Boko Haram limefanya shambulio katika kambi moja ya jeshi la Nigeria na kuwaua wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo.

  • Mamia ya walimu wauawa katika eneo la Ziwa Chad

    Mamia ya walimu wauawa katika eneo la Ziwa Chad

    May 01, 2017 03:01

    Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umesema kuwa, walimu 600 wameuawa katika eneo la Ziwa Chad kwenye mashambulizi ya genge la kigaidi la Boko Haram tangu mwaka 2009.

  • Waislamu wa Nigeria walalamikia kuendelea kushikiliwa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu

    Waislamu wa Nigeria walalamikia kuendelea kushikiliwa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu

    Apr 28, 2017 10:20

    Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amelaani kuendelea kushikiliwa kinyume cha sheria kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Waislamu Nigeria kuishtaki serikali kwa kupuuza agizo la koti

    Waislamu Nigeria kuishtaki serikali kwa kupuuza agizo la koti

    Apr 28, 2017 03:25

    Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imesema inajiandaa kwenda mahakamani kuishtaki serikali ya nchi hiyo kwa kupuuza agizo lililotolewa na Mahakama ya Federali la kumuachia huru kiongozi wao Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Waislamu waliouawa na jeshi la Nigeria wakumbukwa katika 'Siku ya Mashahidi'

    Waislamu waliouawa na jeshi la Nigeria wakumbukwa katika 'Siku ya Mashahidi'

    Apr 25, 2017 22:03

    Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeadhimisha siku ya mashahidi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • Watu wenye silaha waangamizwa katikati mwa Nigeria

    Watu wenye silaha waangamizwa katikati mwa Nigeria

    Apr 23, 2017 03:19

    Jeshi la polisi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa watu wawili katika jimbo la Niger la katikati mwa nchi hiyo.

  • Idadi ya walioaga dunia kwa homa ya uti wa mgongo Nigeria ni ya kuogofya

    Idadi ya walioaga dunia kwa homa ya uti wa mgongo Nigeria ni ya kuogofya

    Apr 20, 2017 09:46

    Wizara ya Afya ya Nigeria imesema idadi ya watu walioaga dunia kufikia sasa kutokana na homa ya uti wa mgongo imefikia 745.

  • Kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu nchini Nigeria

    Kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu nchini Nigeria

    Apr 19, 2017 07:41

    Baada ya viongozi wa Nigeria kukataa kumuachilia huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Waislamu wa nchi hiyo kwa mara nyingine tena wameandamana wakitaka kuachiliwa huru mwanaharakati huyo wa Kiislamu.

  • Polisi wawafyatulia risasi Wanigeria walioandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Polisi wawafyatulia risasi Wanigeria walioandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Apr 18, 2017 23:02

    Askari polisi wa Nigeria wametumia risasi moto kuwatawanya waandamanaji wanaotaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.

  • Mamia ya mateka wa Boko Haram wakombolewa Nigeria

    Mamia ya mateka wa Boko Haram wakombolewa Nigeria

    Apr 18, 2017 11:04

    Jeshi la Nigeria limefanikiwa kukomboa mamia ya mateka waliokuwa wakishikiliwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS