Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Waislamu Nigeria waandamana kwa amani, polisi wawakandamiza

    Waislamu Nigeria waandamana kwa amani, polisi wawakandamiza

    Apr 18, 2017 03:41

    Vikosi vya usalama vya Nigeria kwa mara nyingine tena vimekandamiza maandamano ya amani ya Waislamu wa nchi hiyo.

  • Watoto nusu milioni waakabiliwa na lishe duni kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Watoto nusu milioni waakabiliwa na lishe duni kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Apr 15, 2017 22:21

    Watoto takribani nusu milioni wanakabiliwa na lishe dunia kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Rais wa Nigeria: Tunaendelea na mazungumzo ili kuwakomboa wasichana wa Chibok

    Rais wa Nigeria: Tunaendelea na mazungumzo ili kuwakomboa wasichana wa Chibok

    Apr 13, 2017 12:03

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema, serikali yake inaendelea na mazungumzo ili kufanikisha kuachiliwa huru idadi iliyosalia ya wasichana wa shule ya eneo la Chibok waliotekwa nyara na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.

  • Wakristo waungana na Waislamu Nigeria kushinikiza kuachiwa huru Zakzaky

    Wakristo waungana na Waislamu Nigeria kushinikiza kuachiwa huru Zakzaky

    Apr 12, 2017 02:55

    Kwa mara nyingine tena Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja kushinikiza kuachiwa huru mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Askari wasiopungua watano wauawa Nigeria katika mapigano na wanamgambo

    Askari wasiopungua watano wauawa Nigeria katika mapigano na wanamgambo

    Apr 10, 2017 10:16

    Askari kadhaa wa jeshi na polisi wameuawa katika mapigano yaliyotokea baina ya vikosi hivyo vya usalama na wanamgambo wanaobeba silaha kusini magharibi mwa Nigeria.

  • Homa ya uti wa mgongo yauwa watu karibu 440 Nigeria

    Homa ya uti wa mgongo yauwa watu karibu 440 Nigeria

    Apr 09, 2017 02:37

    Idadi ya watu walioaga dunia kwa kushukiwa kuugua homa ya uti wa mgongo imefikia 438, huku maafisa wa nchi hiyo wakianzisha kampeni ya kutoa chanjo ili kudhibiti mlipuko wa homa hiyo.

  • Magaidi wa Boko Haram washadidisha mashambulio nchini Nigeria

    Magaidi wa Boko Haram washadidisha mashambulio nchini Nigeria

    Apr 08, 2017 11:18

    Watu kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulio mawili yaliyofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Waislamu Nigeria wafufua maandamano ya kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky

    Waislamu Nigeria wafufua maandamano ya kushinikiza kuachiwa huru Sheikh Zakzaky

    Apr 07, 2017 03:06

    Kwa mara nyingine tena Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano ya amani katika mji mkuu wa nchi hiyo, kushinikiza kuachiwa huru mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Watoto 336 wameaga dunia Nigeria kutokana na

    Watoto 336 wameaga dunia Nigeria kutokana na "Meningitis"

    Apr 05, 2017 03:08

    Mamia ya watoto wamepoteza maisha kutokana na homa ya uti wa mgongo nchini Nigeria, huku duru za kiafya zikiarifu kuwa yumkini ugonjwa huo ukasambaa na kuenea katika nchi jirani ya Niger.

  • Mripuko wa

    Mripuko wa "Meningitis" waua watu 269 nchini Nigeria

    Mar 29, 2017 09:23

    Mripuko wa homa ya uti wa mgongo umeua mamia ya watu nchini Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS