-
Polisi ya India yawatia mbaroni watu waliowashambulia wanafunzi wa Nigeria wanaosoma nchini humo
Mar 29, 2017 03:14Polisi ya India imetangaza kuwatia mbaroni watu sita waliowashambulia wanafunzi raia wa Nigeria wanaosoma nchini humo.
-
Askofu Mkuu Nigeria: Mitazamo ya kundi la Boko Haram haina uhusiano na Uislamu
Mar 25, 2017 12:03Askofu Mkuu nchini Nigeria amesisitiza udharura wa kufanyika mazungumzo kati ya wafuasi wa dini za mbinguni na kusema kuwa, ni muhimu sana kuzitofautisha na dini ya Uislamu fikra za kigaidi kama zile za kundi la Boko Haram.
-
Wimbi la mashambulizi ya kigaidi laua na kujeruhi 28 Maiduguri, Nigeria
Mar 22, 2017 11:36Kwa akali watu wanane wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika wimbi la hujuma za kigaidi lililoutikisa mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria mapema leo.
-
Miripuko mitatu yaua watu kadhaa karibu na mji wa Maiduguri, Nigeria
Mar 19, 2017 13:00Hali ya taharuki imeukumba mji wa Maiduguri, kufuatia miripuko mitatu ya kigaidi iliyotokea karibu na mji huo na kuua watu kadhaa na wengne kujeruhiwa.
-
Magaidi wawili wanawake wauawa kaskazini mwa Nigeria
Mar 12, 2017 14:57Magaidi wawili wanawake wanaoaminika ni wanachama wa kundi la wakufurishaji la Boko Haram wameuawa katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Baada ya livu ndefu ya matibabu UK, Rais wa Nigeria kurejea nchini leo
Mar 10, 2017 00:37Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria anatazamiwa kurejea nchini humo leo baada ya mapumziko yake ya matibabu nchini Uingereza yaliyoongezewa muda.
-
Nigeria yawataka raia wake kutosafiri nchini Marekani
Mar 07, 2017 03:51Serikali ya Nigeria imewataka raia wake kujiepusha kusafiri Marekani katika kipindi hiki hadi pale Washington itakapoweka wazi na kutoa ufafanuzi kuhusu sera zake za kigeni.
-
Wakimbizi waandamana nchini Nigeria kulalamikia mazingira magumu
Mar 06, 2017 10:26Wanawake wakimbizi wa Nigeria wamefanya maandamano wakati wawakilishi wa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa walipokuwa wanatembelea kambi yao ya wakimbizi.
-
Watu kadhaa wauawa katika miripuko Maiduguri, Nigeria
Mar 04, 2017 04:12Polisi nchini Nigeria imesema watu kadhaa waliuawa katika wimbi la mashambulizi ya mabomu katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo jana Ijumaa.
-
Ripoti: Maelfu ya raia wamekuwa wakimbizi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Mar 02, 2017 04:19Maelfu ya raia katika vijiji vya kaskazini mashariki mwa Nigeria wamelazimika kuwa wakimbizi wakihofia hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la Boko Haram.