-
Makumi ya Wanigeria wafukuzwa Afrika Kusini, uhusiano wa nchi mbili matatani
Mar 02, 2017 00:05Msaidizi wa ngazi ya juu wa Rais wa Nigeria ametangaza kuwa, serikali ya Afrika Kusini imewafukuza raia 97 wa nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika na uhalifu wa aina mbalimbali.
-
Mawakili wa Zakzaky wamwandikia barua Mwanasheria Mkuu, Waziri
Feb 28, 2017 04:19Mawakili wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wamemuandikia barua Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Sheria wa nchi hiyo, wakishinikiza kuachiwa huru msomi huyo wa Kiislamu pamoja na mkewe.
-
Waislamu Nigeria wawasilisha kilio chao kwa makamu wa rais ili kuwachiliwa Zakzaky
Feb 27, 2017 10:58Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imewasilisha kilio chake kwa makamu wa rais wa nchi hiyo ili kuachiliwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Yaqoub El Zakzaky.
-
Kivuko cha mpaka wa Cameroon na Nigeria chafungwa; wasiwasi watanda
Feb 24, 2017 10:40Kivuko cha mpaka baina ya nchi mbili jirani za Cameroon na Nigeria kimefungwa kutokana na sababu za kiusalama.
-
Machafuko yachachamaa Nigeria, serikali yapiga marufuku watu kutoka nje
Feb 24, 2017 04:36Machafuko ya kikabila yamepamba moto kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuilazimisha serikali ya nchi hiyo kutoa amri ya kutotoka nje kwa masaa 24 katika maeneo yenye machafuko.
-
Jeshi la Nigeria: Tutapeleka kikosi maalumu cha polisi katika maeneo yenye machafuko
Feb 23, 2017 09:45Jeshi la polisi nchini Nigeria limetangaza azma yake ya kupeleka kikosi maalumu cha polisi kwa ajili ya kusimamia amani katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN: Mamilioni ya watu wanakabiliwa na baa la njaa Nigeria, Ziwa Chad
Feb 22, 2017 23:33Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa, zaidi ya watu milioni saba wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa katika eneo lililokumbwa na machafuko la kaskazini mwa Nigeria na kandokando ya Ziwa Chad.
-
Kudhoofika nguvu ya magaidi nchini Nigeria
Feb 22, 2017 04:41Waziri wa Ulinzi wa Nigeria amesema kuwa kundi la Boko Haram limedhoofika baada ya kuundwa kikosi cha kijeshi cha pamoja cha mataifa kadhaa cha kupambana na hujuma za kundi hilo.
-
Amnesty yaikosoa serikaliya Nigeria kwa kutozingatia sheria
Feb 19, 2017 23:20Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa vikali serikali ya Nigeria kwa kutoheshimu sheria.
-
Huenda Sheikh Zakzaky akafunguliwa mashtaka katika jimbo la Kaduna
Feb 18, 2017 12:55Duru za kuaminika nchini Nigeria zimeripoti kuwa huenda kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky akafunguliwa mashtaka katika jimbo la kaskazini la Kaduna.