Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • 11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    Feb 17, 2017 10:57

    Kwa akali watu 11 wameuawa katika makabiliano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram mapema leo katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi mwa Nigeria.

  • Marekani yaahidi kuipatia silaha Nigeria

    Marekani yaahidi kuipatia silaha Nigeria

    Feb 14, 2017 04:10

    Serikali ya Nigeria imo mbioni kutafuta msaada wa silaha kwa Marekani.

  • Wanigeria waandamana dhidi ya serikali kulalamikia hali mbaya ya uchumi nchini

    Wanigeria waandamana dhidi ya serikali kulalamikia hali mbaya ya uchumi nchini

    Feb 10, 2017 01:00

    Maelfu ya wananchi nchini Nigeria wamefanya maandamano katika kulalamikia siasa mbovu za kiuchumi zinazotekelezwa na serikali ya Rais Muhammadu Buhari wa nchi hiyo.

  • Njaa yawanyemelea maelfu Nigeria kutokana na ugaidi wa Boko Haram

    Njaa yawanyemelea maelfu Nigeria kutokana na ugaidi wa Boko Haram

    Feb 09, 2017 00:36

    Maelfu ya watu wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa nchini Nigeria kutokana na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yaionya serikali ya Buhari kwa kukwamisha kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yaionya serikali ya Buhari kwa kukwamisha kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky

    Feb 04, 2017 12:44

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeitahadharisha serikali ya Rais Muhammad Buhari wa nchi hiyo kutokana na ukwamishaji unaofanya kuhusiana na suala la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Nigeria yaahidi kuwapatia malipo yaliyocheleweshwa wanamgambo wa zamani wa Niger Delta

    Nigeria yaahidi kuwapatia malipo yaliyocheleweshwa wanamgambo wa zamani wa Niger Delta

    Feb 03, 2017 04:15

    Serikali ya Nigeria imesema, karibuni hivi italipa fedha zote za malipo yaliyocheleweshwa inazodaiwa na wanamgambo wa zamani waliojiorodhesha kupatiwa msamaha uliotolewa mwaka 2009 kwa waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta kusini mwa nchi hiyo.

  • Wanajeshi wa Nigeria waliotumwa Gambia kurejea nyumbani karibuni

    Wanajeshi wa Nigeria waliotumwa Gambia kurejea nyumbani karibuni

    Feb 03, 2017 04:08

    Askari wa jeshi la Nigeria waliokuwa wametumwa nchini Gambia ili kuhakikisha usalama katika mchakato wa kushika madaraka serikali mpya ya nchi hiyo wanatazamiwa kurejea nchini mwao hivi karibuni.

  • Jeshi la Nigeria lazidi kusonga mbele katika ngome za kundi la Boko Haram

    Jeshi la Nigeria lazidi kusonga mbele katika ngome za kundi la Boko Haram

    Feb 03, 2017 00:18

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limeendelea kusonga mbele na kupata mafanikio makubwa katika operesheni zake dhidi ya kundi la kigaidi la wanamgambo wa Boko Haram.

  • Wanawake Waislamu Nigeria walaani kukandamizwa hijabu

    Wanawake Waislamu Nigeria walaani kukandamizwa hijabu

    Feb 02, 2017 10:31

    Muungano wa makundi ya wanawake kwa jina la "Hijab Rights Advocacy Initiative" wa nchini Nigeria jana ulilaani kile ulichokitaja kuwa kuendelea kukandamizwa wanawake wanaovaa vazi la stara la hijabu, na kulitaka bunge la nchi hiyo kubuni sheria ili kukomesha unyanyasaji huo wa wanawake wanaovaa hijabu.

  • Wafanyakazi 5 wa UN wauawa mpakani mwa Cameroon-Nigeria

    Wafanyakazi 5 wa UN wauawa mpakani mwa Cameroon-Nigeria

    Feb 02, 2017 02:27

    Wafanyakazi watano wa Umoja wa Mataifa wameuawa katika mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana katika mpaka wa Cameroon na Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS