-
Kwa mara nyingine mahakama ya Nigeria yataka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Feb 01, 2017 12:12Mahakama Kuu ya Shirikisho la Nigeria, kwa mara nyingine tena imetoa amri ya kuachiliwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo na mke wake.
-
Kuendelea ukandamizaji wa askari wa Nigeria dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jan 29, 2017 09:01Kwa mara nyingine na katika hatua ya ukandamizaji, polisi ya Nigeria imeshambulia maandamano ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Yaaqub Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
WFP: Raia milioni 1.8 wanakabiliwa na hatari ya njaa kaskazini mashariki mwa Nigeria
Jan 29, 2017 00:22Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, hali ya kimaisha ya wakazi wa kaskazini mashariki mwa Nigeria inatia wasiwasi mno.
-
Nigeria: Hatuungi mkono wazo la nchi za Afrika kujiondoa ICC kwa pamoja
Jan 27, 2017 11:06Serikali ya Nigeria imesema haiungi mkono pendekezo linalotaka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika AU kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwa pamoja.
-
Polisi Nigeria wawafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa Sheikh Zakzaky
Jan 26, 2017 10:22Maafisa usalama nchini Nigeria wamewafyatulia mabomu ya kutoa machozi wafuasi wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anaendelea kuzuiliwa kinyume cha sheria.
-
EU yataka kuachiliwa huru mara moja Sheikh Zakzaky nchini Nigeria
Jan 25, 2017 01:12Umoja wa Ulaya umewataka viongozi wa Nigeria kuheshimu amri ya mahakama ya kumwachilia huru mara moja kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Abuja: Wanawake wa Boko Haram wanatumia vitoto vichanga katika mashambulizi ya kigaidi
Jan 24, 2017 23:30Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, baadhi ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wanatumia watoto wachanga wanaonyonya kwa ajili ya kuwahadaa askari usalama na kufanya mashambulizi ya kigaidi.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria yalaani ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo
Jan 24, 2017 11:28Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imelaani ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya nchi hiyo hususan haki za kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Boko Haram yaendelea kutumia watoto kwenye hujuma zao Nigeria
Jan 24, 2017 04:36Maafisa wa serikali ya Nigeria wameelezea wasi wasi wao kuhusu hatua ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Harm kukithirisha mbinu ya kutumia watoto wadogo katika harakati zao za kigaidi ikiwemo kutekeleza mashambulizi ya mabomu.
-
Magaidi wa Boko Haram washambulia Niger na kuua askari wawili
Jan 22, 2017 12:44Magaidi wa Boko Haram wametekeleza shambulizi la kushtukiza katika kituo kimoja cha kijeshi nchini Niger na kuua wanajeshi wawili. Kwa mujibu wa maafisa wa serikali ya Niger, shambulizi hilo limejiri katika kituo cha kijeshi kilichoko mjini Geskerou katika eneo la Diffa kusini mashariki mwa nchi hiyo. Katika shambulizi hilo magaidi hao wa Boko Haram ambao waliingia Niger wakitokea Nigeria, waliteketeza pia magari matatu ya jeshi.