-
Wanasheria wataka Sheikh Zakzaky aachiwe huru
Jan 21, 2017 11:57Wanasheria na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Nigeria wametoa wito wa kufikishwa mahakamani viongozi wa jimbo la Kaduna huko kaskazini mwa nchi hiyo kutokana na kukwamisha zoezi la kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
11 wauawa Nigeria kwa kushiriki maandamano ya kumuunga mkono Trump
Jan 21, 2017 04:33Wanachama 11 wa harakati ya Biafra nchini Nigeria wanaripotiwa kuuawa na maafisa usalama katika maandamano yaliyofanyika kusini mashariki mwa nchi.
-
Bunge la Nigeria kuchunguza hujuma ya ndege za kivita dhidi ya kambi ya wakimbizi
Jan 19, 2017 04:29Bunge la Nigeria limesema litachunguza shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya kambi ya wakimbizi kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno
-
Mgogoro wa Gambia waingia awamu mpya, Nigeria yatuma majeshi kukabiliana na Jammeh
Jan 19, 2017 01:51Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limetuma askari 200 na ndege kadhaa za kivita katika nchi jirani na Gambia ya Senegal kwa ajili ya kutatua mgogorowa uongozi uliosababishwa na uchaguzi wa rais nchini Gambia.
-
Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari
Jan 18, 2017 13:10Bunge la Taifa la Gambia limepasisha azimio la kumruhusu Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo asalie madarakani kwa miezi mitatu zaidi katika hali ambayo muda wake wa kuhudumu unaelekea kumalizika.
-
Raia mia moja wauawa katika shambulizi la Jeshi la Anga la Nigeria
Jan 18, 2017 01:19Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi lililofanywa na ndege za kivita za Nigeria dhidi ya kambi moja ya wakimbizi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waislamu wa Nigeria wamtaka Rais wa nchi hiyo amwachie huru Zakzaky
Jan 17, 2017 11:56Mwanachama wa ngazi ya juu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amemtahadharisha Rais wa nchi hiyo baada ya kuakhirishwa zoezi la kumuachia huru kiongozi wa harakati hiyo anayeendelea kushikiliwa na vyombo vya usalama.
-
Amnesty International: Serikali ya Nigeria itii amri ya mahakama ya kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Jan 16, 2017 23:34Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limesisitizia umuhimu wa serikali ya Nigeria kutii hukumu iliyotolewa na mahakama kuu ya nchi hiyo ya kuachiliwa huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Waislamu wa Nigeria wanasubiri kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jan 16, 2017 08:31Sambamba na kukaribia wakati wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, msemaji wa harakati hiyo amewatahadharisha viongozi wa nchi hiyo na kuwataka wamuachilie huru haraka iwezekanavyo mwanaharakati huyo wa Kiislamu.
-
Sheikh Zakzaky atoa ujumbe akiwa katika jela ya serikali ya Nigeria
Jan 16, 2017 03:26Duru za habari nchini Nigeria zimeripoti kuwa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ametoa ujumbe akiwa katika korokoro ya serikali ya nchi hiyo.