Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Waislamu Nigeria wawaonya viongozi wa nchi hiyo

    Waislamu Nigeria wawaonya viongozi wa nchi hiyo

    Jan 15, 2017 03:48

    Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewaonya viongozi wa nchi hiyo na kuwataka wamwachie huru mara moja kiongozi wa harakati hiyo.

  • Rais wa Nigeria aomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani

    Rais wa Nigeria aomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani

    Jan 14, 2017 03:42

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amemtumia salamu za rambi rambi mwenzake wa Iran kufuatia kuaga dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran.

  • Jeshi la Nigeria lagundua miili kadhaa ya askari wanaosadikiwa kuuawa na Boko Haram

    Jeshi la Nigeria lagundua miili kadhaa ya askari wanaosadikiwa kuuawa na Boko Haram

    Jan 14, 2017 00:27

    Jeshi la Nigeria limetangaza kugundua miili ya askari zaidi ya 10 wanaodaiwa kuuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Bunge la Wawakilishi Nigeria lafungua njia ya kumpa hifadhi ya kisiasa Rais wa Gambia

    Bunge la Wawakilishi Nigeria lafungua njia ya kumpa hifadhi ya kisiasa Rais wa Gambia

    Jan 12, 2017 13:24

    Bunge la Wawakilishi la Nigeria leo limepiga kura kuidhinisha uamuzi wa kumpatia hifadhi ya kisiasa Rais Yahya Jammeh wa Gambia endapo atakubali kung'atuka madarakani.

  • Wafanyakazi wa sekta ya mafuta na gesi nchini Nigeria wagoma kudai mshahara

    Wafanyakazi wa sekta ya mafuta na gesi nchini Nigeria wagoma kudai mshahara

    Jan 11, 2017 01:13

    Wafanyakazi wa sekta ya mafuta na gesi nchini Nigeria, wameanzisha mgomo kulalamikia kutolipwa mishahara na marupurupu yao.

  • Boko Haram washambulia kituo cha jeshi la Nigeria, askari watano wauawa

    Boko Haram washambulia kituo cha jeshi la Nigeria, askari watano wauawa

    Jan 09, 2017 03:28

    Askari watano wa jeshi la Nigeria na wapiganaji 15 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameuawa wakati kundi hilo liliposhambulia kituo cha jeshi katika eneo la mbali kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Siku elfu moja zimepita tangu kutekwa wanafunzi wa Chibok Nigeria

    Siku elfu moja zimepita tangu kutekwa wanafunzi wa Chibok Nigeria

    Jan 09, 2017 01:03

    Ikiwa zimepita siku elfu moja hapo jana Jumapili tangu kutekwa wanafunzi wa kike wa shule ya sekondari ya Chibok zaidi ya 200 kulikofanywa na wanamgambo wa kundi la kitakfiri na la kigaidi la Boko Haram huko Nigeria, hatima ya wanafunzi hao haijulikani.

  • Kutangaza vita

    Kutangaza vita "Walipizaji Kisasi wa Niger Delta" dhidi ya serikali ya Nigeria

    Jan 08, 2017 02:48

    Katika hali ambayo Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ameahidi kufikia suluhu na waasi, kundi la wana mgambo linalojiita Walipizaji Kisasi wa Niger Delta la kusini mwa nchi hiyo limetangaza vita dhidi ya serikali baada ya mazungumzo baina ya pande mbili kumalizika bila ya kufikiwa tija.

  • Kundi la Niger Delta latangaza rasmi vita na serikali ya Nigeria

    Kundi la Niger Delta latangaza rasmi vita na serikali ya Nigeria

    Jan 07, 2017 12:26

    Kundi la waasi wa Niger Delta kusini mwa Nigeria limetangaza vita na serikali ya nchi hiyo kufuatia kushindwa mazungumzo ya pande mbili.

  • Jeshi la Nigeria: Boko Haram wanapatiwa silaha na Israel

    Jeshi la Nigeria: Boko Haram wanapatiwa silaha na Israel

    Jan 04, 2017 00:58

    Duru za Nigeria zimefichua kuwa, kundi la wanamgambo wa kigaidi wa Boko Haram limekuwa likipata misaada ya silaha kutoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS