-
Harakati ya Kiislamu Nigeria yamtaka Rais Buhari kumwachia huru Sheikh Zakzaky
Jan 02, 2017 04:21Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa wito wa kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Ahadi ya Rais wa Nigeria ya kurejesha amani na usalama wa nchi
Jan 02, 2017 03:36Katika hali ambayo, Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema katika ujumbe wake kwa mnasaba wa mwaka mpya wa 2017 kwamba, ameazimia kuchukua hatua za kurejesha usalama na uthabiti wa nchi hiyo na wa kieneo, kwa mara nyingine tena kundi la kigaidi la Boko Haram limetishia kutekeleza operesheni za kigaidi katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Boko Haram yatoa vitisho vipya dhidi ya serikali ya Nigeria
Dec 31, 2016 23:33Kiongozi wa kundi la kigaidi la Boko Haram ametoa vitisho vipya dhidi ya jeshi la Nigeria.
-
Polisi ya Nigeria: Tutapambana kwa nguvu zote na magaidi
Dec 31, 2016 11:28Polisi ya Nigeria imesisitiza katika tangazo lake maalumu kwamba, imezimia kwa dhati kupambana kwa nguvu zake zote na magaidi na makundi yanayojihusisha na vitendo vya kuwateka nyara watu.
-
Jamii ya Nigeria yapindukia watu milioni 190
Dec 31, 2016 00:18Wakala wa Taifa wa Takwimu nchini Nigeria umetangaza kuwa jamii ya watu wa nchi hiyo imepindukia watu milioni 190.
-
Wanigeria 3000 warejea katika makazi yao baada ya Boko Haram kutimuliwa
Dec 29, 2016 03:45Wanigeria zaidi ya 3,000 wanaripotiwa kurejea katika makazi yao kaskazini mashariki mwa nchi baada ya magaidi wa Boko Harama kutimuliwa.
-
Waislamu wa Nigeria waendelea kupigania Sheikh Zakzaky aachiwe huru
Dec 28, 2016 23:10Waislamu wa Nigeria wamezidisha jitihada zao za kutaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo pamoja na mke wake.
-
Rais Buhari: Jeshi la Nigeria limeiteka kambi kuu ya kundi la Boko Haram
Dec 25, 2016 00:21Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema jeshi la nchi hiyo limeiteka kambi kuu ya mwisho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika msitu wa Sambisa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watoto 11 wafariki dunia katika ajali ya basi kaskazini mwa Nigeria
Dec 21, 2016 23:35Watoto 11 wamepoteza maisha baada ya kugongwa na basi walipokuwa wakishiriki zefe (matembezi) ya Maulid (kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume SAW) kaskazini mwa Nigeria.
-
Nigeria yatilia mkazo ustawi na maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Afrika
Dec 20, 2016 11:07Rais wa Nigeria ametilia mkazo ustawi na maendeleo ya kiuchumi kwa maslahi ya nchi za eneo la Magharibi mwa Afrika.