-
Mgogoro wa nishati umeua watu wengi Ulaya kuliko Corona
May 28, 2023 06:47Takwimu rasmi zinaonesha kuwa, mgogoro wa nishati barani Ulaya katika msimu uliopita wa baridi kali ulisababisha maafa makubwa katika bara hilo kuliko janga la Corona.
-
IEF: Bei ya mafuta kupindukia dola 100 kwa pipa
Nov 03, 2022 02:29Jukwaa la Kimataifa la Nishati (IEF) limesema bei ya mafuta itapindukia dola 100 kwa pipa kutokana na utekelezaji wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia.
-
Mgogoro wa nishati wasababisha maandamano katika nchi za Ulaya
Sep 11, 2022 11:55Miji kadhaa ya nchi za Ulaya imeshuhudia maandamano ya kulalamikia ongezeko la bei za nishati, huku mgogoro wa mafuta ya petroli na gesi ukiendelea kuyasumbua mataifa mengi ya bara Ulaya.
-
Iran: Tuko tayari kuitatulia Ulaya matatizo yake ya nishati
Sep 05, 2022 11:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imehifadhi hisa yake katika soko la nishati licha ya vikwazo, lakini inaweza kuwa na mchango mkubwa katika kupatia suluhu mgogoro wa niashati unaolikabili bara Ulaya.
-
Mgogoro wa nishati Ufaransa wamlazimisha Macron kuzuru koloni la zamani
Aug 26, 2022 07:05Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewasili Algeria, koloni la kitambo la nchi hiyo ya Ulaya katika safari inayolenga kuitaka nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika iongeze kiwango cha gesi inayouza barani Ulaya.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kuitatulia dunia mgogoro wa nishati
Jul 28, 2022 02:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kukidhi mahitaji ya nishati ya jamii ya kimataifa.