Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

onyo

  • Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi

    Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi

    Jul 03, 2017 12:55

    Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.

  • Bunge la Libya latahadharisha kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani

    Bunge la Libya latahadharisha kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani

    Jun 13, 2017 02:27

    Bunge la Libya limetahadharisha kuhusu kuachiwa huru bila ya masharti viongozi wa utawala wa zamani wa nchi hiyo.

  • Onyo kuhusu Quds na kulegeza kamba Donald Trump

    Onyo kuhusu Quds na kulegeza kamba Donald Trump

    Jun 03, 2017 07:18

    Walimwengu wamezidi kukasirishwa na ukandamizaji unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds. Huku hayo yakiripotiwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito wa kuitishwa Ijumaa ya ghadhabu dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Ramaphosa atahadharisha Afrika Kusini kugeuka nchi ya kimafia

    Ramaphosa atahadharisha Afrika Kusini kugeuka nchi ya kimafia

    May 22, 2017 07:19

    Makamu wa Rais wa Afrika Kusini ametahadharisha juu ya nchi hiyo kugeuka na kuwa ya Kimafia.

  • Onyo la Waziri Mkuu wa Iraq juu ya njama za kimataifa dhidi ya taifa hilo

    Onyo la Waziri Mkuu wa Iraq juu ya njama za kimataifa dhidi ya taifa hilo

    May 21, 2017 03:55

    Akizungumza mbele ya waandishi wa habari mjini Baghdad hapo siku ya Ijumaa Haider al-Abad, Waziri Mkuu wa lraq alikosoa vikali hatua ya kufanyika mwezi mmoja uliopita vikao vya eti kujadili mustakbali wa lraq huko mjini Geneva Uswisi kwa ubunifu wa Marekani na vilevile mjini lstanbul kwa ubunifu wa Uturuki.

  • Indhari ya jumuiya za wananchi nchini Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa

    Indhari ya jumuiya za wananchi nchini Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa

    May 10, 2017 02:23

    Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umetoa indhari na onyo kuhusiana na matokeo mabaya ya hujuma dhidi ya mwanazuoni wa Kishia Sheikh Issa Qassim.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Mali

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Mali

    May 02, 2017 04:26

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika nchi ya Kiafrika ya Mali.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen

    Apr 27, 2017 02:40

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, watoto zaidi ya 50 wa Yemen wanafariki dunia kila siku kutokana na hali mbaya inayotawala nchi hiyo.

  • Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuwa Daesh wanaweza kuidhibiti tena Libya

    Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuwa Daesh wanaweza kuidhibiti tena Libya

    Apr 15, 2017 04:47

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hatari ya kupanuka zaidi udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika maeneo mbalimbali ya Libya na hali mbaya inayotawala maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo.

  • HRW: Saudia imetenda jinai za kivita Yemen

    HRW: Saudia imetenda jinai za kivita Yemen

    Mar 13, 2017 07:04

    Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa mashambulizi ya anga ya Saudi Arabia yaliyoua raia nchini Yemen ni jinai ya kivita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS