-
UN yatoa indhari: Hali ya kibinadamu Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya
Mar 01, 2017 15:56Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa hali ya kibinadamu nchini Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya na kutoa wito wa kurahisisha ufikishaji misaada katika maeneo yaliyoathiriwa na machafuko na ya watu wenye ukata wa maisha.
-
Indhari ya UN kuhusu kuongezeka ukiukaji wa haki za binadamu duniani
Feb 28, 2017 02:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu duniani.
-
Asasi za kimataifa zatahadharisha ongezeko la machafuko Afrika ya Kati
Feb 20, 2017 08:15Taasisi tano za kimataifa zimetahadharisha juu ya kushadidi vitendo vya ukatili nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria yaionya serikali ya Buhari kwa kukwamisha kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Feb 04, 2017 16:14Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeitahadharisha serikali ya Rais Muhammad Buhari wa nchi hiyo kutokana na ukwamishaji unaofanya kuhusiana na suala la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
UN yatahadharisha kuhusu mgogoro wa kibinadamu Yemen
Jan 27, 2017 07:27Mkurugenzi wa Oparesheni za Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu mgogoro na hatari ya njaa huko Yemen.
-
Waislamu Nigeria wawaonya viongozi wa nchi hiyo
Jan 15, 2017 07:18Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewaonya viongozi wa nchi hiyo na kuwataka wamwachie huru mara moja kiongozi wa harakati hiyo.
-
Madaktari na wauguzi Kenya watishia kupanua wigo wa mgomo wao
Dec 09, 2016 04:32Madaktari na wauguzi wa hospitali za serikali nchini Kenya ambao wanaingia katika siku yao ya tano ya mgomo wao wametishia kuwa watapanua wigo wa mgomo huo endapo serikali haitasikiliza matakwa yao.
-
Onyo la mkuu wa CIA kwa Trump kuhusu JCPOA
Nov 30, 2016 13:12John O. Brennan, Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amemuonya Donald Trump, rais mteule wa Marekani kutokana na msimamo wake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 yanayojulikana kwa jina la JCPOA na kusisitiza kuwa, haitakuwa busara hata kidogo kufutwa makubaliano yaliyotiwa saini na Tehran na Washington.
-
Tahadhari ya Putin kwa Magharibi kuhusu kutumia ugaidi kama wenzo wa kutimizia malengo yake
Nov 29, 2016 03:00Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa sera za nchi za Magharibi za kuyatumia makundi ya kigaidi kama wenzo wa kufikia malengo yao na kusisitiza kuwa mchezo huo mchafu umesababisha matatizo mengi.
-
Onyo la Rais wa Sudan Kusini kwa kiongozi wa waasi
Oct 17, 2016 10:06Rais wa Sudan Kusini amemuonya Riek Machar kiongozi wa waasi wa nchi hiyo na kumtaka ajiweke kando na siasa pamoja na madaraka.