-
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya yatoa onyo kwa wapinzani
Mar 31, 2016 23:55Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imeonya kuwa itakabidhi majina ya wapinzani wa serikali hiyo kwa Polisi ya Kimataifa Interpol na kuwahusisha na "ugaidi" endapo hawatotoa ushirikiano kwa serikali hiyo.
-
WFP latahadharisha kuhusiana na uhaba wa chakula nchini Yemen
Mar 23, 2016 21:23Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetahadharisha kuhusiana na uhaba mkubwa wa chakula unaoikabili nchi ya Yemen.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na kuongezeka machafuko nchini Burundi
Mar 19, 2016 13:21Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusiana na kuongezeka utumiaji mabavu na vitendo vya utesaji katika nchi ya Burundi.
-
Mtaalamu wa UN atoa indhari kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 13, 2016 00:00Marie-Thérèse Keita-Bocoum, mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu amesema hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi.
-
Kenya yatangaza hali ya tahadhari
Mar 01, 2016 08:42Kenya imetangaza hali ya tahadhari kutokana na wasiwasi wa uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia
Feb 21, 2016 12:31Spika wa Bunge la Syria ametoa onyo kali kwa ukoo wa Aal Saud unaojigamba kuwa utatuma wanajeshi wake nchini Syria.