Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel

    Jan 23, 2021 09:01

    Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan wamefanya maandamano ya kupinga uwezekano wowote wa kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Maulamaa wa Pakistan wakosoa filamu tata ya

    Maulamaa wa Pakistan wakosoa filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi"

    Jan 16, 2021 00:47

    Wanazuoni wa Kishia na maulamaa wengine wa Kiislamu nchini Pakistan wamelaani na kukosoa vikali filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi" na kuitaja kuwa njama za maadui wa Uislamu wenye nia ya kupanda mbegu za chuki baina ya Waislamu.

  • Kutangaza msimamo wa wazi Pakistan wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni

    Kutangaza msimamo wa wazi Pakistan wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni

    Dec 23, 2020 09:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amepinga aina yoyote ya mashinikizo ya nje dhidi ya nchi hiyo kwa ajili ya kujiunga na safau ya nchi zinazoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni na kueleza kuwa: Islamabad katu haitaitambua rasmi Israel.

  • Pakistan yaiambia UAE: Katu hatutaitambua Israel

    Pakistan yaiambia UAE: Katu hatutaitambua Israel

    Dec 22, 2020 03:53

    Kwa mara nyingine tena, serikali ya Pakistan imesisitiza kuwa, kamwe haitoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel licha ya mashinikizo ya nchi ajinabi.

  • Imran Khan asisitiza tena: Pakistan haitaitambua Israel wala kuanzisha uhusiano nayo

    Imran Khan asisitiza tena: Pakistan haitaitambua Israel wala kuanzisha uhusiano nayo

    Dec 19, 2020 04:00

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekanusha kuwepo mashinikizo ya aina yoyote ya kuitaka nchi hiyo ijiunge na safu ya nchi zinazofanya mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan apendekeza Ulimwengu wa Kiislamu uvunje uhusiano na Ufaransa

    Waziri Mkuu wa Pakistan apendekeza Ulimwengu wa Kiislamu uvunje uhusiano na Ufaransa

    Dec 08, 2020 23:07

    Vyombo vya habari vya Pakistan vimetangaza kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Imran Khan ametoa pendekezo la kuvunjwa uhusiano wa nchi za Kiislamu na Ufaransa.

  • Pakistan: Kamwe hatukubali kushinikizwa kuitambua rasmi Israel

    Pakistan: Kamwe hatukubali kushinikizwa kuitambua rasmi Israel

    Nov 17, 2020 22:53

    Kwa mara nyingine tena, Pakistan imesisitiza kuwa katu haitatumbukia katika mashinikizo ya kufuata mkumbo wa kuitambua rasmi Israel maadamu utawala huo haramu bado unazikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Tuhuma za kutumika ardhi ya Afghanistan katika kushambuliwa nchi nyingine zakanushwa

    Tuhuma za kutumika ardhi ya Afghanistan katika kushambuliwa nchi nyingine zakanushwa

    Nov 17, 2020 00:22

    Serikali ya Afghanistan imekanusha tuhuma za kutumika ardhi ya nchi hiyo kufanya mashambulizi dhidi ya nchi nyingine.

  • Wapakistan: Hatutositisha maandamano mpaka balozi wa Ufaransa atimuliwe

    Wapakistan: Hatutositisha maandamano mpaka balozi wa Ufaransa atimuliwe

    Nov 16, 2020 03:41

    Maelfu ya waandamanaji nchini Pakistan waliofanya mgomo wa kuketi wametangaza kuwa wataendeleza mgomo wao huo mpaka balozi wa Ufaransa nchini humo atimuliwe.

  • Pakistan yamkamata mtuhumiwa wa pili baada ya mwanamke kubakwa na genge la watu

    Pakistan yamkamata mtuhumiwa wa pili baada ya mwanamke kubakwa na genge la watu

    Oct 13, 2020 22:54

    Mshukiwa wa pili amewekwa kizuizini nchini Pakistan baada ya kukamatwa na polisi kufuatia ubakaji wa genge la watu dhidi ya mwanamke mmoja ambao umeibua maandamano kote nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS