Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Maelfu ya Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya kigaidi katika maeneo ya Waislamu wa Shia

    Maelfu ya Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya kigaidi katika maeneo ya Waislamu wa Shia

    Apr 01, 2017 11:40

    Maelfu ya raia wa Pakistan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni yaliyotokea katika eneo la Parachinar la Waislamu wa Shia nchini humo.

  • Upinzani dhidi ya kushiriki Pakistan katika muungano wa vita vya Saudia huko Yemen, waongezeka

    Upinzani dhidi ya kushiriki Pakistan katika muungano wa vita vya Saudia huko Yemen, waongezeka

    Apr 01, 2017 03:16

    Wimbi la upinzani wa suala la kujiunga Pakistan katika muungano wa kijeshi wa kimaonyesho unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen bado linaendelea kuongezeka nchini Pakistan.

  • Iran yalaani shambulizi ya kigaidi karibu na Husainiya ya Imambargah

    Iran yalaani shambulizi ya kigaidi karibu na Husainiya ya Imambargah

    Apr 01, 2017 03:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililotokea katika eneo la Parachinar na kuua makumi ya watu waliokuwa wamekwenda kutelekeza ibada ya Swala ya Ijumaa.

  • 'Makundi ya Lashkar-e-Jhangvi na Sipah-e-Sahaba ni wasaidizi wa ISIS nchini Pakistan'

    'Makundi ya Lashkar-e-Jhangvi na Sipah-e-Sahaba ni wasaidizi wa ISIS nchini Pakistan'

    Mar 21, 2017 00:17

    Katibu mkuu wa Baraza la Umoja wa Waislamu katika jimbo la Sindh nchini Pakistan amesema kuwa, makundi ya Lashkar-e-Jhangvi na Sipah-e-Sahaba ni wasaidizi wakuu wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.

  • Rouhani: ECO itakuwa ufunguo wa maelewano ya Mashariki na Magharibi

    Rouhani: ECO itakuwa ufunguo wa maelewano ya Mashariki na Magharibi

    Mar 01, 2017 03:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mataifa yanayostawi kiuchumi barani Asia yataufanya uchumi wa dunia utoke Magharibi na kuelekea Mashariki na mabadiliko hayo yatapelekea bara hilo kuwa mbele katika karne ya 21.

  • Maelfu ya Wapakistani waandamana kulaani jinai za Marekani na makundi ya kigaidi

    Maelfu ya Wapakistani waandamana kulaani jinai za Marekani na makundi ya kigaidi

    Feb 18, 2017 12:43

    Maelfu ya Wapakistani wamefanya maandamano makubwa katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia jinai za Marekani na makundi ya kigaidi ya Jamaat al-Ahrar, Daesh, Lashgar Jahangui na Sepah Sahabah, ambayo yamekuwa yakihusika na mauaji ndani ya taifa hilo.

  • Iran yalaani mauaji ya watu 80 katika Haram ya Sufi nchini Pakistan

    Iran yalaani mauaji ya watu 80 katika Haram ya Sufi nchini Pakistan

    Feb 17, 2017 11:29

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana Alkhamisi katika mkoa wa Sindh nchini Pakistan, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.

  • Pakistan yapinga kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Quds

    Pakistan yapinga kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Quds

    Jan 19, 2017 10:55

    Mwakilishi wa Kudumu wa Pakistan katika Umoja wa Mataifa amepinga hatua yoyote ya uhamishaji wa ubalozi wa Marekani kutoka Tel-Aviv, Israel kwenda Baytul-Muqaddas na kwamba, kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Pakistan

    Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Pakistan

    Nov 13, 2016 12:38

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana Jumamosi katika mkoa wa Baluchestan nchini Pakistan, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.

  • Magaidi washambulia chuo cha polisi na kuua 55 nchini Pakistan

    Magaidi washambulia chuo cha polisi na kuua 55 nchini Pakistan

    Oct 25, 2016 01:08

    Makumi ya makurutu wameuawa baada ya genge la kigaidi kushambulia chuo cha kutoa mafunzo ya polisi kusini magharibi mwa Pakistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS