Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Magaidi wawili raia wa Pakistan wakamatwa nchini Iran

    Magaidi wawili raia wa Pakistan wakamatwa nchini Iran

    Sep 20, 2016 23:15

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limetangaza habari ya kutiwa mbaroni raia wawili wa Pakistan katika mji wa Saravan wa mkoa wa Sistan va Baluchestan kwenye mpaka wa Iran na Pakistan.

  • Mgogoro wa Kashmiri na juhudi za Pakistan za kuufanya kuwa wa kimataifa

    Mgogoro wa Kashmiri na juhudi za Pakistan za kuufanya kuwa wa kimataifa

    Sep 20, 2016 09:31

    Katika hali ambayo eneo lenye Waislamu wengi la Kashmiri, upande unaodhibitiwa na India, linaendelea kushuhudia malalamiko ya wananchi Waislamu, viongozi wa serikali ya Pakistan wanafanya juhudi za kuufanya mgogoro huo kuwa wa kimataifa kupitia kuishawishi jamii ya kimataifa iingilie kati.

  • Shambulio la kigaidi msikitini laua makumi ya watu Pakistan

    Shambulio la kigaidi msikitini laua makumi ya watu Pakistan

    Sep 16, 2016 22:10

    Watu wasiopungua 23 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa ndani ya msikiti katika Sala ya Ijumaa wilayani Mohmand nchini Pakistan.

  • UN yazitaka India na Pakistan ziruhusu uchunguzi Kashmir

    UN yazitaka India na Pakistan ziruhusu uchunguzi Kashmir

    Aug 17, 2016 23:09

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko ya umoja huo baada ya serikali za Pakistana na India kukataa kuwapa kibali maofisa wa UN kulitembelea eneo lenye mzozo la Kashmir, katika mpaka wa nchi mbili hizo.

  • Iran: Undumakuwili ndio umeupa nguvu ugaidi duniani

    Iran: Undumakuwili ndio umeupa nguvu ugaidi duniani

    Aug 09, 2016 23:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya hospitali katika mji wa Quetta nchini Pakistan na kusisitiza kuwa, usuasa za kindumakuwili ndizo zimekuza na kuzipa nguvu harakati za kigaidi katika kona mbalimbali za dunia.

  • Iran yalaani shambulio la kigaidi katika hospitali ya Quetta, Pakistan

    Iran yalaani shambulio la kigaidi katika hospitali ya Quetta, Pakistan

    Aug 08, 2016 10:13

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa katika hospitali ya mji wa Quetta nchini Pakistan.

  • Shambulizi la bomu dhidi ya hospitali Pakistan laua 50

    Shambulizi la bomu dhidi ya hospitali Pakistan laua 50

    Aug 08, 2016 03:38

    Makumi ya watu wameuawa katika mlipuko wa bomu uliolenga hospitali kuu ya mji wa Quetta, kusini magharibi mwa Pakistan.

  • Maandamano ya Waislamu nchini Pakistan

    Maandamano ya Waislamu nchini Pakistan

    Jul 23, 2016 09:17

    Maelfu ya wananchi wa Pakistan wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kupinga mauaji ya Waislamu wenzao wa madhehebu ya Shia na serikali ya nchi hiyo kushindwa kuwachukulia hatua wahusika wa mauaji hayo.

  • Zaidi ya 44 wauawa katika mapigano Kashmir inayodhibitiwa na India

    Zaidi ya 44 wauawa katika mapigano Kashmir inayodhibitiwa na India

    Jul 19, 2016 23:23

    Zaidi ya watu 44 wameuawa kufikia Jumanne katika mapigano yalianza Julai 9 katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.

  • Kiongozi wa Taliban, Mullah Mansour auawa katika hujuma ya drone

    Kiongozi wa Taliban, Mullah Mansour auawa katika hujuma ya drone

    May 22, 2016 11:50

    Kiongozi wa kundi la kigaidi la Taliban, Mullah Akhtar Mohammad Mansour ameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Marekani katika mkoa wa Baluchistan, mpakani mwa Afghanistan na Pakistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS