Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Malengo ya safari ya Ismail Haniya nchini Lebanon baada ya kupita miaka 27

    Malengo ya safari ya Ismail Haniya nchini Lebanon baada ya kupita miaka 27

    Sep 03, 2020 02:14

    Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, baada ya miaka 27 juzi Septemba Mosi aliwasili Beirut mji mkuu wa Lebanon.

  • Harakati ya Kiislamu ya Palestina yakosoa kuanzishwa uhusiano kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Harakati ya Kiislamu ya Palestina yakosoa kuanzishwa uhusiano kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Aug 31, 2020 02:18

    Naibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amekosoa hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni na kusema: kile kinachotekelezwa na Imarati kwa uungaji mkono wa Saudi Arabia ni vita vya waziwazi dhidi ya imani ya Waislamu.

  • Ismail Haniya: Azma ya muqawama Palestina ni kuhitimisha mzingiro dhidi ya Gaza

    Ismail Haniya: Azma ya muqawama Palestina ni kuhitimisha mzingiro dhidi ya Gaza

    Aug 30, 2020 22:05

    Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, azama na irada ya taifa na muqawama wa Palestina ni kufanya hima kwa ajili ya kuhitimisha mzingiro wa kidhulma unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • Nasrullah: Kuanzisha uhusiano na Israel ni huduma ya bwerere kwa Netanyahu na Trump

    Nasrullah: Kuanzisha uhusiano na Israel ni huduma ya bwerere kwa Netanyahu na Trump

    Aug 30, 2020 22:04

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kubainisha kuwa: Kitendo hicho cha Abu Dhabi ni huduma bila malipo kwa watawala wa Marekani na Israel wanaoadamwa na misukosuko ya kisiasa.

  • Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel

    Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel

    Aug 28, 2020 22:07

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amezikosoa baadhi ya nchi za Kiarabu kutokana na jitihada zao za kutaka kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.

  • Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Aug 28, 2020 01:59

    Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.

  • Hamas: Ghaza inakabiliwa na changamoto 3 kwa wakati mmoja

    Hamas: Ghaza inakabiliwa na changamoto 3 kwa wakati mmoja

    Aug 27, 2020 02:57

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema, eneo la Ukanda wa Ghaza hivi sasa linakabiliwa na changamoto tatu kwa wakati mmoja. Amesema, hatua inapasa zichukuliwe ili kutatua changamoto hizo.

  • China yaitaka jamii ya kimataifa ishughulikie mgogoro wa Palestina

    China yaitaka jamii ya kimataifa ishughulikie mgogoro wa Palestina

    Aug 26, 2020 01:56

    Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kupatikana suluhisho la mgogoro wa Palestina.

  • Shambulizi la anga la Israel laua shahidi Wapalestina 4 Gaza

    Shambulizi la anga la Israel laua shahidi Wapalestina 4 Gaza

    Aug 25, 2020 03:28

    Wapalestina wanne wameuawa shahidi baada ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel kushambulia kwa mabomu maeneo kadhaa ya Palestina huko mashariki mwa Ukanda wa Gaza.

  • Algeria: Kuitetea na kuiunga mkono Palestina ni katika sera zetu za nje

    Algeria: Kuitetea na kuiunga mkono Palestina ni katika sera zetu za nje

    Aug 24, 2020 23:01

    Msemaji wa serikali ya Algeria amesema kusimama na wananchi wa Palestina, kuwatetea na kuwaunga mkono nio katika sera za nje zilizopewa kipaumbele na taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS