-
Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon, Palestina wasusia 'Muamala wa Karne'
Jun 24, 2019 08:18Wanazuoni na wasomi wa Kiislamu wa Lebanon na Palestina wamelaani njama ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.
-
Wapalestina 79 wajeruhiwa katika maandamano ya 'Haki ya Kurejea'
Jun 22, 2019 02:47Wizara ya Afya ya Palestina imesema Wapalestina 79 wamejeruhiwa katika Ijumaa ya 63 ya maandamano makubwa ya 'Haki ya Kurejea' katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wafanyabiashara wa Kipalestina wasusia mkutano wa Trump, Bahrain
Jun 21, 2019 00:08Wafanyabiashara na wawekezaji mashuhuri wa Kipalestina wametangaza bayana kuwa hawatoshiriki mkutano wa 'kiuchumi wa Manama' nchini Bahrain ulioitishwa na Marekani, wenye lengo la kuzindua 'Muamala wa Karne', wakisisitiza kuwa kile ambacho Wapalestina wanahitajia ni uhuru wao na wala sio fedha.
-
Watunisia waandamana dhidi ya Israel, waiunga mkono Palestina
Jun 16, 2019 02:29Makumi ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu Tunis, kulaani mpango wowote wa kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel, sambamba na kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Umoja wa Mataifa waunga mkono kuhitimishwa ukaliwaji mabavu ardhi za Palestina
Jun 15, 2019 06:19Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameunga mkono kuhitimishwa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Romania yasema haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake Quds
Jun 15, 2019 03:34Katibu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Romania amesema nchi hiyo ya Ulaya haina mpango wowote wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, kutoka Tel Aviv.
-
Maulama wa Palestina: Kikao cha Bahrain kina lengo la kuifuta Palestina na kusambaratisha matukufu ya Wapalestina
Jun 13, 2019 21:54Jumatano yana Jumuiya ya maulama wa Palestina ilifanya kikao kilichopewa jina la 'Maulama wa Palestina katika Kukabiliana na Mpango wa Muamala wa Karne wa Trump' huko Ukanda wa Gaza kwa lengo la kujadili malengo ya mkutano wa kiuchumi wa nchini Bahrain.
-
Utawala wa Kizayuni wateketeza mashamba ya mizaituni na mabwawa ya maji Ukingo wa Magharibi
Jun 11, 2019 08:57Katika mwendelezo wa jinai na ukatili wake, utawala haramu wa Kizayuni umeteketeza zaidi ya miti 550 ya mizaituni yenye matunda na mabwawa kadhaa ya kuhifadhia maji katika mkoa wa Tubas, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jun 11, 2019 00:51Licha ya juhudi kuibwa zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanikisha mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini washirika wa Ulaya wa Washington ikiwemo Ufaransa, wanaendelea kuukosoa mpango huo.
-
Kiongozi Muadhamu: Nchi za Kiislamu zipambane na adui ghasibu anayetenda jinai Palestina
Jun 05, 2019 07:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi za Kiislamu zina wajibu wa kukabiliana na adui ghasibu anayetenda jinai huko Palestina na sio kuzozana zenyewe kwa zenyewe.