-
Amir wa Qatar: Tutaendelea kuliunga mkono taifa madhulumu la Palstina
May 12, 2019 08:27Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema kuwa, msimamo wa Doha wa kuunga mkono na kutetea haki za taifa madhulumu la Palestina ni thabiti na usiotetereka.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na Wazayuni kuelekea Siku ya Nakba
May 11, 2019 03:18Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la Maandamano ya Haki ya Kurejea, huku maadhimisho ya Siku ya Nakba ya kumbukumbu ya mwaka wa 71 tangu kukaliwa kwa mabavu Palestina yakijongea.
-
Wapalestina waungana kupinga 'Muamala wa Karne'
May 11, 2019 03:10Katika hali ambayo 'Muamala wa Karne' bado haujazinduliwa rasmi, lakini kila mara wakati vyombo vya habari vinapofichua sehemu ya muamala huo, makundi ya Palestina huonyesha umoja katika kuupinga mpango huo wa Marekani.
-
UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu
May 09, 2019 08:03Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeeleza wasiwasi mkubwa ilionao kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, na kubainisha kuwa mamia ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wako katika hatari ya kusababishiwa ulemavu wa maisha kutokana na majeraha ya risasi za jeshi katili la utawala wa Kizayuni.
-
Wapalestina waishukuru Iran kwa kuinua uwezo wa kijeshi wa muqawama
May 09, 2019 00:01Msemaji Rasmi wa Brigedi ya Quds, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa utumiwaji wa makombora aina ya Badr 3, unaonyesha ustawi wa uwezo katika sekta ya kijeshi ya muqawama wa Palestina.
-
Ubalozi wa Palestina Tehran: Trump ni kijakazi cha Netanyahu
May 08, 2019 23:46Ubalozi wa Palestina katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kukosoa vikali sera za Rais Donald Trump wa Marekani za kuunga mkono na kuukingia kifua utawala wa Kizayuni wa Israel, umebainisha kuwa Trump anapokea na kutekeleza maagizo kutoka kwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kusimamisha mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina
May 07, 2019 03:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuchua hatua zote kuhakikisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unakomesha mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina.
-
Utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita kati yake na Palestina
May 06, 2019 09:02Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa utawala wa Kizayuni hatimaye umekubali kusimamisha vita ulivyovianzisha huko Ukanda wa Ghaza kutokana na mashinikizo ya fikra za walimwengu kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Wamagharibi wakasirishwa na uwezo wa kujihami Wapalestina; Uturuki yailaani Israel kwa kushambulia ofisi yake Ghaza
May 05, 2019 03:07Serikali ya Marekani imefumbia macho jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina na badala yake imelaani mashambulizi ya kujihami kwa makombora yanayofanywa na wanamapambano wa Kiislamu huko Ghaza.
-
Hamas: Mamlaka ya Ndani ya Palestina sio mwakilishi wa Wapalestina
Apr 17, 2019 09:51Mahmoud al-Zahar, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, Mamlaka ya Ndani ya Palestina sio mwakilishi wa Wapalestina.