Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel

    Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel

    May 22, 2019 03:39

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imekosoa vikali mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain ikisisitiza kuwa kongamano hilo halina lengo jingine ghairi ya kuandaa mazingira ya kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano kati ya Waarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain

    Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain

    May 21, 2019 23:13

    Serikali ya Jordan imetakiwa kutoshiriki mkutano wa Marekani wenye lengo la kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.

  • Visa vya Wazayuni kuwagonga kwa gari Wapalestina kwa makusudi vyaongezeka

    Visa vya Wazayuni kuwagonga kwa gari Wapalestina kwa makusudi vyaongezeka

    May 21, 2019 09:26

    Mlowezi wa Kizayuni amemgonga kwa gari Mpalestina kwa makusudi na kumuua shahidi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.

  • Riyadh al-Maliki: Mpango wa

    Riyadh al-Maliki: Mpango wa "Muamala wa Karne" ni sawa na kurejea katika ukoloni

    May 18, 2019 20:50

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, kuukubali mpango wa amani wa Marekani katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel unaojulikana kama "Muamala wa Karne" ni kurejea katika kipindi cha ukoloni.

  • Iran: Israel ndiyo sababu ya migogoro yote ya kibinadamu Asia Magharibi

    Iran: Israel ndiyo sababu ya migogoro yote ya kibinadamu Asia Magharibi

    May 14, 2019 03:22

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo chimbuko la migogoro yote ya kibinadamu katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).

  • Rais Mahmoud Abbas: Taifa la Palestina halitaukubali mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Rais Mahmoud Abbas: Taifa la Palestina halitaukubali mpango wa 'Muamala wa Karne'

    May 13, 2019 02:46

    Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, taifa la Palestina halitaukubali mpango wa Marekani wa 'Muamala ya Karne' kwa namna yoyote ile.

  • Amir wa Qatar: Tutaendelea kuliunga mkono taifa madhulumu la Palstina

    Amir wa Qatar: Tutaendelea kuliunga mkono taifa madhulumu la Palstina

    May 12, 2019 08:27

    Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema kuwa, msimamo wa Doha wa kuunga mkono na kutetea haki za taifa madhulumu la Palestina ni thabiti na usiotetereka.

  • Wapalestina 3 wauawa shahidi na Wazayuni kuelekea Siku ya Nakba

    Wapalestina 3 wauawa shahidi na Wazayuni kuelekea Siku ya Nakba

    May 11, 2019 03:18

    Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi katika wimbi jipya la Maandamano ya Haki ya Kurejea, huku maadhimisho ya Siku ya Nakba ya kumbukumbu ya mwaka wa 71 tangu kukaliwa kwa mabavu Palestina yakijongea.

  • Wapalestina waungana kupinga 'Muamala wa Karne'

    Wapalestina waungana kupinga 'Muamala wa Karne'

    May 11, 2019 03:10

    Katika hali ambayo 'Muamala wa Karne' bado haujazinduliwa rasmi, lakini kila mara wakati vyombo vya habari vinapofichua sehemu ya muamala huo, makundi ya Palestina huonyesha umoja katika kuupinga mpango huo wa Marekani.

  • UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu

    UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu

    May 09, 2019 08:03

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeeleza wasiwasi mkubwa ilionao kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, na kubainisha kuwa mamia ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wako katika hatari ya kusababishiwa ulemavu wa maisha kutokana na majeraha ya risasi za jeshi katili la utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS