-
Trump kuwafukuza Wapalestina nchini Marekani
Sep 10, 2018 02:54Gazeti moja la nchini Marekani limeripoti kuwa, mshauri wa usalama wa taifa wa White House, leo Jumatatu atatangaza kufungwa ofisi ya Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO mjini Washington.
-
Uamuzi kwa manufaa ya Palestina; Paraguay yaurejesha ubalozi wake Tel Aviv
Sep 06, 2018 03:03Luis Alberto Castiglioni Waziri wa Mambo ya Nje wa Paraguay amesema kuwa nchi hiyo itaurajesha ubalozi wake Tel Aviv kutoka Quds Tukufu.
-
Maandamano ya Wapalestina mbele ya ubalozi mdogo wa Marekani
Sep 05, 2018 22:25Idadi kubwa ya Wapalestina wamefanya maandamano mbele ya ubalozi mdogo wa Marekani katika mji wa Ramallah katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wakilalamikia hatua ya serikali ya Washington ya kukata misaada yake kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Ajili ya Wapalestina (UNRWA).
-
Uhispania: Marekani haina ustahiki wa kuwa mpatanishi katika kadhia ya Palestina
Sep 05, 2018 03:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amesema, Marekani imepoteza ustahiki wa kuwa msuluhishi katika suala la Palestina kutokana na kwenda sambamba na misimamo ya Israel.
-
HAMAS: Matamshi ya Rais Mahmoud Abbas sio msimamo wa taifa la Palestina
Aug 29, 2018 23:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, matamshi Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina katu hayaakisi msimamo wa wananchi wa taifa hilo madhulumu.
-
Indhari ya Wapalestina kuhusu kugawanywa msikiti wa al Aqsa
Aug 27, 2018 03:02Idara ya Waqfu ya Quds na inayosimamia msikiti wa al Aqsa imesisitiza kuwa msikiti huo ni sehemu takatifu kiimani na kiitikadi ya kila Muislamu isiyoweza kugawanywa wala kuwa na ubia.
-
Wapalestina: Marekani inajaribu kuturubuni kimabavu
Aug 26, 2018 22:49Mbunge mmoja wa Palestina amesema kuwa, uamuzi wa Marekani wa kukatisha misaada yake kwa Wapalestina ni kujaribu kuwarubuni kimabavu ili wakubaliane na mpango wa "Muamala wa Karne" wa kuiangamiza kikamilifu kadhia ya Palestina.
-
Idara ya Waqfu ya Baitul Muqaddas: Msikiti wa Al-Aqsa ni sehemu ya itikadi ya kila Muislamu
Aug 26, 2018 10:23Idara ya Waqfu ya Quds na masuala ya msikiti wa Al-Aqsa imesisitiza kuwa msikiti huo mtukufu ni sehemu ya asili ya itikadi ya kila Muislamu na kwa hivyo hauwezi kugawanywa wala kuwashirikisha watu wengine.
-
El Baradei alalamikia kimya cha Waarabu mbele ya jinai za Marekani kwa Wapalestina
Aug 26, 2018 10:22Mwanasiasa maarufu wa Misri ambaye wakati fulani alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa ya Nishati ya Atomiki, Muhammad el Baradei imezilalamikia vikali nchi za Kiarabu kwa kunyamazia kimya jinai za hivi karibuni za Marekani hasa za kuwakatia misaada Wapalestina.
-
Matamshi ya waziri wa Saudia ya kuitetea Israel yazidi kulaaniwa
Aug 23, 2018 10:35Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama na msemaji wa harakati ya Answarullah ya Yemen wamelaani vikali matamshi ya waziri wa wakfu wa utawala wa ukoo wa Aal Saud huko Saudi Arabia aliyeutetea na kuukingia kifua wazi wazi utawala wa Kizayuni wa Israel.