-
Palestina yaitaka UN ichunguze mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza
Jun 09, 2018 03:18Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza Kuu la umoja huo kukumbatia azimio linalotaka kuchunguzwa jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Nasrullah asisitiza ulazima wa Waislamu kukabiliana na fitna ya Wasaudi; na Ulimwengu wa Kiislamu kufanya hima ya kuwasaidia watu wa Quds
Jun 08, 2018 23:03Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: Njama hatari zaidi ya adui ni mpango wa Marekani wa "Mapatano ya Karne" ambayo lengo lake ni kulitolea hukumu suala la Palestina na kuisalimisha Quds na matukufu yake kwa utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Maelefu ya Wapalestina washiriki Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds
Jun 08, 2018 09:23Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Wananchi wa Iran wasisitiza kuhusu kukombolewa Quds Tukufu
Jun 08, 2018 09:12Wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds wametoa taarifa na kusisitiza kuhusu kukombolewa Quds (Jerusalem) Tukufu na kujikomboa Wapalestina wanaodhulumiwa kutoka katika makucha ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Velayati: Muqawama wa Palestina umeidhoofisha mno Israel
Jun 08, 2018 02:57Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema harakati za muqawama wa Palestina zimeudhoofisha utawala wa Kizayuni, na kuandaa mazingira ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Tel Aviv.
-
(Hatua kwa Hatua Hadi Siku ya Quds) Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 08, 2018 01:38Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu ya wiki hii alitoa hotuba muhimu katika Haram ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo moja ya nukta muhimu zilizojikita kwenye hotuba yake hiyo ni kadhia ya Palestina na hasa Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo inaadhimishwa leo Ijumaa kote ulimwenguni.
-
Imam wa msikiti wa Al-Aqsa: Macho ya walimwengu yameelekezwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 08, 2018 00:06Imam na Khatibu wa msikiti wa Al-Aqsa amesisitiza kuwa mamlaka ya msikiti huo yatabaki kuwa mikononi mwa Waislamu na kwamba wanaovamia na kukivunjia heshima kibla hicho cha kwanza cha Waislamu hawatopata faida yoyote.
-
Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds
Jun 05, 2018 22:04Gazeti moja la utawala wa Kizayuni wa Israel limefichua kuwa, Israel, Marekani, Saudi Arabia na baadhi ya nchi nyingine za Kiarabu zinahusika katika machafuko yanayoendelea nchini Jordan kutokana na nchi hiyo kushiriki katika kikao cha kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani uliokuweko Tel Aviv.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds Kufanyika Nairobi, Kenya
Jun 04, 2018 23:21Wapenda haki na amani nchini Kenya watajiunga na wenzao kote duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa wiki hii.
-
Waziri wa vita wa Israel atoa vitisho vipya kwa Wapalestina
Jun 04, 2018 22:36Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni ametishia kuwa Israel itamalizia hasira zake kwa harakati za Hamas, Jihadul Islam na makundi yote ya muqawama ya Palestina yanayoendesha mapambano dhidi ya utawala vamizi wa Kizayuni.