-
Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 04, 2018 03:52Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.
-
Hizbullah: Taifa la Palestina litegemee muqawama, lisiwategemee viongozi wa Kiarabu wanafiki
Jun 03, 2018 23:46Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah, Nabil Qaouk amesisitiza kwamba, taifa la Palestina halitakiwi kuwategemea viongozi wa nchi za Kiarabu na vikao vyao, bali wategemee muqawama na stratijia yake.
-
Zarif: Kitendo cha Israel kumuua muuguzi wa Kipalestina ni fedha juu fedheha
Jun 03, 2018 02:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumuua shahidi muuguzi wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza, na kuutaja ukatili huo kama doa jingine kwa utawala huo haramu.
-
(Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds): Dhulma wanayofanyiwa Wapalestina na madai ya haki za binadamu ya Marekani
Jun 03, 2018 02:11Vitendo vilivyo dhidi ya ubinadamu ambavyo Israel inawafanyia wananchi madhulumu wa Palestina ni miongoni mwa mambo ambayo mara kwa mara yamekuwa yakifanywa ajenda za Baraza la Haki za Binadamu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa; hata hivyo mara zote Marekani imekuwa ikiingilia kati na kuzuia kupasishwa maazimio ya kimataifa ya kulaani jinai hizo za Israel.
-
Kugonga mwamba njama ya Marekani UN ya kupitisha azimio la kulaani Muqawama wa Palestina
Jun 02, 2018 22:10Rasimu ya azimio lililopendekezwa na Marekani, la kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kulaani makundi ya muqawama wa Palestina imekataliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran inaunga mkono Palestina katika kutekeleza wajibu wa kidini na kiitikadi
Jun 02, 2018 08:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina kwa msingi wa kiitikadi na kutekeleza wajibu wa kidini.
-
US yatumia veto kupinga azimio la kutaka kulindwa Wapalestina
Jun 02, 2018 03:18Marekani imetumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ikitaka kulindwa Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.
-
Israel yalegeza msimamo baada ya majibu makali ya wanamapambano wa Palestina
May 31, 2018 10:18Baada ya wanamapambano wa Palestina kutoa majibu makali dhidi ya mashambulizi ya kivamizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni, hatimaye baraza la masuala ya usalama la Israel limesema kuwa, utawala huo hauna nia yoyote ya kuukalia tena kwa mabavu Ukanda wa Ghaza.
-
Mufti wa Palestina: Nchi za Kiislamu zivunje uhusiano na nchi zinazoitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
May 31, 2018 03:29Mufti wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu amezitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zivunje uhusiano wao na nchi zinazoitambua Quds tukufu kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa
May 31, 2018 00:48"Ulimwengu wa Kiislamu leo unapaswa kuwa na nafasi ya kimsingi katika masuala muhimu na usiruhusu uzoefu mchungu wa miongo iliyopita na kuenea satwa ya madola makubwa na athari zake za muda mrefu kukaririwa."