-
Kiongozi Muadhamu: Kukombolewa Palestina ni kanuni ya Allah ambayo Marekani haiwezi kukabiliana nayo
May 17, 2018 23:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, moja ya mahitaji muhimu na ya lazima ya umma wa Kiislamu hii leo, ni udharura wa kushikamana na Qur'an Tukufu na kuifanyia kazi.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Uturuki; kulaaniwa mwenendo wa kigaidi wa Israel
May 17, 2018 07:02Rais Hassan Rouhani amesema, mauaji ya wananchi madhulumu wa Palestina yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kumbukumbu ya mwaka wa 70 tangu kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu Palestina ni maafa makubwa na yenye athari.
-
Khoshroo: Iran inaunga mkono mapambano halali ya Wapalestina
May 17, 2018 03:42Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Iran inaunga mkono mapambano halali ya wananchi wa Palestina yenye lengo la kuwa na mamlaka kamili na kuunda nchi huru ya Palestina mji mkuu wake ukiwa Beitul-Muqaddas Mashariki.
-
Mtoto wa miezi 8 ni mmoja wa Wapalestina waliouawa na jeshi katili la Israel
May 16, 2018 03:21Mtoto mwenye umri wa miezi minane tu ni mmoja wa wahanga wa ukatili wa hivi punde wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Arab League yaitisha kikao cha dharura kujadili mauaji ya umati ya Wapalestina
May 16, 2018 03:00Huku nchi mbalimbali za dunia zikiendelea kulaani vikali mauaji ya umati yaliyofanywa na askari wa utawala bandia wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeaitisha kikao cha dharura kujadili ukatili huo.
-
Marekani yawalaumu Wapalestina kwa kuuawa na askari wa Israel, Gaza
May 15, 2018 22:11Ikulu ya Marekani White House imejitokeza kuutetea hadharani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 54 waliokuwa wakishiriki maandamano katika Ukanda wa Gaza siku ya Jumatatu.
-
AU yaungana na dunia kulaani mauaji ya umati yaliyofanywa na Wazayuni dhidi ya Wapalestina
May 15, 2018 09:20Umoja wa Afrika umelaani vikali mauaji ya halaiki yaliyofanywa na utawala katili wa Kizayuni dhidi ya raia madhlum wa Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS: Maandamano ya Wapalestina katika mpaka wa Gaza yataendelea
May 15, 2018 03:32Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa maandamano ya amani ya Wapalestina katika mpaka wa Ukanda wa Gaza ya kupinga ubalozi wa Marekani Tel Aviv kuhamishiwa Baitul Muqaddas yataendelea.
-
Kuzidi kulaaniwa Israel vamizi, upeo mpya kwa Palestina
May 14, 2018 02:13Wapenda haki duniani leo (Jumatatu) wameamua kufanya maandamano katika nchi 46 ulimwenguni ili kuilaani Israel suala ambalo limewafanya wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni washadidishe ulinzi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Ghaza.
-
Waisraeli wajiunga na Wapalestina katika maandamano dhidi ya US
May 13, 2018 03:16Mamia ya Waisraeli wamejiunga na Wapalestina katika maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.