-
Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Palestina imeanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Sham!
May 28, 2018 07:06Palestina ni suala kuu na la kwanza la Ulimwengu wa Kiislamu; na kufanyika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kunatilia mkazo suala hilo muhimu na la kihistoria.
-
Kifaru cha Israel chaua shahidi Wapalestina 3 Gaza
May 27, 2018 09:13Kwa akali Wapalestina watatu wameuawa shahidi kufuatia shambulizi la kifaru cha utawala wa Kizayuni wa Israel mashariki mwa mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Marekani mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 26, 2018 22:02Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni siku ya kupazwa duniani sauti ya kudhulumiwa taifa la Palestina na kuchukizwa ulimwengu na utawala katili wa Israel unaoua watoto wadogo, inawadia.
-
Wazayuni waendelea kuwaua shahidi na kuwajeruhi Wapalestina
May 26, 2018 03:18Kijana mmoja wa Palestina ameuawa shahidi huku watu wengine 109 wakijeruhiwa katika maandamano ya 'Haki ya Kurejea' yaliyofanyika jana Ijumaa katika Ukanda wa Gaza.
-
Marekani yakasirishwa na hatua ya UN kuiruhusu Palestina ijiunge na taasisi zake
May 24, 2018 09:59Marekani imeonesha kughadhibishwa na hata kutishia kuupunguzia ufadhili Umoja wa Mataifa kutokana na UN kuiruhusu Palestina ijunge na taasisi zake.
-
Wapalestina waitaka ICC ichunguze ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel
May 22, 2018 09:12Palestina imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ianzishe uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel hususan harakati za utawala huo za kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds
May 20, 2018 22:03Walowezi zaidi ya 300 wa Kizayuni wameuhujumu Msikiti wa al Aqsa ulioko katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina 3 waaga dunia kutokana na majeraha ya risasi za Israel
May 19, 2018 23:34Wapalestina watatu waliojeruhiwa vibaya na risasi za jeshi katili la Israel katika Ukanda wa Gaza wiki iliyopita wamefariki dunia.
-
Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani
May 18, 2018 23:44Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ukombozi usioepukika wa Palestina, kushindwa kusikokwepeka kwa Marekani + Picha
May 18, 2018 13:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Baytul Muqaddas ndio mji mkuu wa Palestina na kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu Palestina itakombolewa tu kutoka katika makucha ya maadui na kwamba Marekani na vitimbakwiri vyake hawawezi kufanya upuuzi wowote mbele ya uhakika na sunna hiyo ya Mwenyezi Mungu.