-
Zarif aimbia NAM; Israel ndiyo tishio kuu kwa usalama wa dunia
Apr 05, 2018 10:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndilo tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia huku akitoa mwito wa kuanzishwa uchunguzi wa kimataifa juu ya jinai za utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Wazayuni wazidi kuua Wapalestina baada ya kukingiwa kifua na Saudia
Apr 05, 2018 10:22Utawala wa Kizayuni wa Israel umezidisha mashambulizi na mauaji dhidi ya wananchi madhlumu wa Palestina hasa baada ya Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kutangaza hadharani kuwa Wazayuni wana haki.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kushadidisha Mapambano na Israel; Tiba Pekee ya Palestina
Apr 05, 2018 08:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kujibu barua ya hivi karibuni ya Ismail Hania Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ametilia mkazo msimamo wa daima wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuiunga mkono kikamilifu Palestina na wapigana jihadi wake na kusema kuwa, tiba ya kadhia ya Palestina ni kuimarishwa mrengo wa mapambano na muqawama.
-
Jihad Islami: Mrithi wa Ufalme wa Saudia amesaliti malengo ya Palestina
Apr 04, 2018 03:02Msemaji wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema hatua ya Mrithi wa Ufalme wa Saudia Mohammad bin Salman kuutambua utawala bandia wa Israel ni usaliti mkubwa kwa malengo matukufu ya Palestina.
-
Iran kufuatilia jinai za Israel katika taasisi za kimataifa
Apr 04, 2018 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitza kuwa Iran itaendelea kuunga mkono harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina kutoka katika makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HRW: Wakuu wa Israel waliamuru mauaji ya Wapalestina Gaza
Apr 03, 2018 22:00Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel kuwaua Wapalestina waliokuwa wakiandamana kwa amani siku ya Ijumaa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Bin Salman aukingia kifua hadharani utawala haramu wa Israel
Apr 03, 2018 09:29Katika hali ambayo jamii ya kimataifa inaendelea kulaani mauaji ya Wapalestina yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia amejitokeza hadharani na kuutambua utawala huo ghasibu, sambamba na kusisitiza kuwa Wazayuni wana haki juu ya ardhi yao.
-
Hamas yaitaka Arab League iishtaki Israel katika mahakama ya ICC
Apr 03, 2018 09:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeitaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuwasilisha faili la mauaji yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Waingereza waandamana kuonyesha mshikamano wao na Wapalestina
Apr 01, 2018 12:51Wananchi na makundi ya kiraia katika mji wa London nchini Uingereza wamefanya maandamano wakitangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina na kulaani jinai wanazofanyiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
SEPAH: Tutafanya juu chini kuwasaidia Wapalestina
Apr 01, 2018 03:14Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH sanjari na kulaani mauaji ya Wapalestina 17 waliokuwa wakiandamana kwa amani Ijumaa ya juzi katika mpaka wa Gaza ili kuadhimisha Siku ya Ardhi, limesema litafanya kila liwezekanalo kuwasaidia Wapalestina wapate haki zao.