Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Iran: Tutaendelea daima kutetea haki za taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Iran: Tutaendelea daima kutetea haki za taifa linalodhulumiwa la Palestina

    Mar 04, 2018 13:21

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) anayehusika na masuala ya kimataifa amesema katika mazungumzo yake na balozi wa Palestina hapa mjini Tehran kwamba Jahuri ya Kiislamu ya Iran daima itaendelea kupigania haki zilizoporwa za taifa la Palestina.

  • Israel imewateka nyara mamia ya watoto wa Kipalestina

    Israel imewateka nyara mamia ya watoto wa Kipalestina

    Mar 02, 2018 04:18

    Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina PPS kimetangaza kuwa, mamia ya watoto wa Kipalestina wanashikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel huku wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.

  • Sheikh wa al-Aqsa aonya kuhusu huhamishiwa Quds ubalozi wa US

    Sheikh wa al-Aqsa aonya kuhusu huhamishiwa Quds ubalozi wa US

    Feb 28, 2018 04:28

    Mhubiri mtajika wa Msikiti wa al-Aqsa, Sheikh Ikrima Sabri ametahadharisha kuhusu azma ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kuitaja hatua hiyo kama ya kichokozi na kichochezi.

  • EU: Vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi ni haramu

    EU: Vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi ni haramu

    Feb 27, 2018 10:44

    Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema vitongoji vyote vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni haramu na vizingiti vya kupatikana amani Mashariki ya Kati.

  • Wakristo Palestina walalamikia ukandamizaji wanaofanyiwa na Israel

    Wakristo Palestina walalamikia ukandamizaji wanaofanyiwa na Israel

    Feb 26, 2018 03:59

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Orthodox Mashariki huko Palestina amelalamikia vikali unyanyasaji na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wakristo wa Palestina na kusema kuwa lengo la Israel ni kupunguza kabisa idadi ya Wakristo huko Palestina.

  • Hamas yatoa wito wa maandamano ya kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani

    Hamas yatoa wito wa maandamano ya kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani

    Feb 25, 2018 23:11

    Harakati ya Mapambanao ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kufanyika maandamano ya kupinga nia ya Marekani ya kutaka kuuhamishia Quds ubalozi wake ulioko Tel Aviv, karibuni hivi.

  • Hamas: Wapalestina hawaogopi vitisho vya utawala haramu wa Israel

    Hamas: Wapalestina hawaogopi vitisho vya utawala haramu wa Israel

    Feb 20, 2018 00:32

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, wananchi wa Palestina hawaogopeshwi na vitisho vya utawala dhalimu wa Israel.

  • Israel yawauawa shahidi Wapalestina wawili, Hamas yajibu

    Israel yawauawa shahidi Wapalestina wawili, Hamas yajibu

    Feb 18, 2018 12:18

    Vijana wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi kufuatia mashambulizi ya jeshi la utawala katili la Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Ayatullah Nouri-Hamedani: Waislamu wasipoungana, Palestina itatenganishwa na Ulimwengu wa Kiislamu

    Ayatullah Nouri-Hamedani: Waislamu wasipoungana, Palestina itatenganishwa na Ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 17, 2018 23:43

    Ayatullah Hussein Nouri Hamedani, mmoja wa Marjaa Taqlidi aliyeko mjini Qom amesisitizia ulazima wa kupatikana umoja baina ya Waislamu duniani na kubainisha kwamba ikiwa Waislamu hawatoungana, maadui wataitenganisha Palestina na Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Afisa wa Palestina: Mahakama ya ICC imeshakabidhiwa faili la jinai za Israel

    Afisa wa Palestina: Mahakama ya ICC imeshakabidhiwa faili la jinai za Israel

    Feb 15, 2018 04:32

    Afisa mwandamizi wa serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na mshauri wa rais wa Mamlaka hiyo amesema, faili la kesi inayohusiana na ujenzi wa vitongoji na jinai mbalimbali zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel imeshakabidhiwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS