-
Ismail Haniya: Mapambano dhidi ya Wazayuni yataendelea
Feb 03, 2018 23:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, maamuzi ya Marekani katu hayatabadilisha msimamo wa harakati hiyo.
-
Kifurushi cha misaada mipya ya Kamisheni ya Ulaya kwa Palestina
Feb 01, 2018 11:19Kamisheni ya Ulaya imetangaza wazi misaada yake mipya kwa Palestina inayojumuisha misaada kwa ajili ya kulinda nafasi ya Quds na kuwaunga mkono wananchi wa Palestina kuelekea kuasisi nchi huru ya Palestina kama sehemu ya njia ya kupatikana nchi mbili katika mzozo wa Mashariki ya Kati.
-
Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati
Feb 01, 2018 07:50Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema suluhisho la kuundwa nchi mbili kwa ajili ya mgogoro wa Mashariki ya Kati halina chaguo jengine mbadala la kisiasa lenye itibari na la kudumu.
-
Mfalme wa Jordan: Kuna pande za Kiarabu zimeniwekea mashinikizo niachane na kadhia ya Quds
Jan 31, 2018 23:08Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amefichua kuhusu mapendekezo na mashinikizo ya kiuchumi inayopata nchi yake kutoka kwa baadhi ya nchi za Kiarabu, kutokana na msimamo wake kuhusiana na kadhia ya Quds.
-
Wapalestina wavuruga warsha ya Marekani Ukingo wa Magharibi
Jan 30, 2018 23:52Wapalestina wenye ghadhabu wamevuruga warsha ya biashara iliyoandaliwa na Marekani katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Baraza la Usalama linakutana leo kujadili kadhia ya Palestina
Jan 25, 2018 03:18Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana leo Alkhamisi katika kikao chake cha dharura kwa shabaha ya kujadili kadhia ya Palestina.
-
Saeb Erekat: Taifa la Palestina katu halitakubali matakwa ya Marekani
Jan 24, 2018 23:30Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa, matakwa na siasa za kuegemea upande mmoja za Marekani zinazotekelezwa kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel katu hazikubaliwi na taifa la Palestina.
-
Baraza la Haki za Binadamu la UN lakosoa jinai za Israel
Jan 24, 2018 10:33Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai unazowafanyia wananchi madhulumu wa Palestina.
-
UNRWA yazindua mfuko wa kimataifa baada ya Marekani kuipungizia misaada
Jan 23, 2018 04:24Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa UNRWA limezindua mfuko wa kimataifa utakaoisaidia taasisi hiyo kutekeleza majukumu yake baada ya Marekani kuipunguzia misaada.
-
Abbas autaka Umoja wa Ulaya kutambua rasmi nchi huru ya Palestina
Jan 22, 2018 22:59Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameutaka Umoja wa Ulaya (EU) kuharakisha suala la kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.