-
Iran yataka Wapalestina waungane kukabiliana na Utawala wa Kizayuni
May 01, 2016 09:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitiza kuhusu ulazima wa kuwepo umoja miongoni mwa makundi yote ya Palestina.
-
Mashirika 40 ya haki za binadamu Ufaransa yatangaza mshikamano na watoto wa Kipalestina
Apr 30, 2016 23:51Zaidi ya mashirika 40 ya kutetea haki za binadamu nchini Ufaransa yametangaza mshikamano na watoto wadogo na vijana chipukizi wa Kipalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kiongozi: Wamagharibi wanataka kudhibiti eneo kupitia vita dhidi ya Uislamu
May 01, 2016 13:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yanataka kulidhibiti eneo la Magharibi mwa Asia kupitia vita vikubwa na vipana dhidi ya mrengo wa Uislamu.
-
Wazayuni walivamia tena kaburi la Nabii Yusuf (AS), Ufukwe wa Magharibi, Palestina
Apr 28, 2016 23:38Walowezi wa Kizayuni wamelivamia tena kaburi la Nabii Yusuf (as) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Saudia kufungua ubalozi Israel
Apr 27, 2016 23:31Saudi Arabia imesema huenda ikafungua ubalozi wake Tel Aviv iwapo utawala haramu wa Israel utakubali kusitisha mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Intifadha yazidi kuutia kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 25, 2016 22:04Majenerali wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamesema kuwa, wana wasiwasi wa kuongezeka muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala huo pandikizi.
-
Ripoti: Idadi ya wafungwa watoto wa Kipalestina katika jela za Israel yaongezeka
Apr 24, 2016 03:00Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kutisha za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
-
Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji
Apr 20, 2016 03:18Chansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kusema kuwa ujenzi huo unazuia mchakato wa amani.
-
Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani
Apr 19, 2016 10:57Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekosoa vikali hatua ya Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Russia kuisaidia Palestina kutatua mzozo kati yake na Israel
Apr 19, 2016 03:23Rais wa Russia Vladimir Putin amesema nchi yake itasaidia juhudi za Palestina za kuupatia ufumbuzi mgogoro kati yake na utawala wa kizayuni wa Israel kwa njia ya mazungumzo.