-
HAMAS: Intifadha itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe
Mar 25, 2016 21:12Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Intifadha ya Quds itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe.
-
Israel yaendeleza ukatili wake, yaua shahidi Wapalestina 2
Mar 24, 2016 10:36Askari wa utawala wa kizayuni wa Israel wameua shahidi Wapestina wawili kwa kuwafyatulia risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza
Mar 23, 2016 21:42Wapiganaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ukanda wa Gaza kwa shabaha ya kuzidisha utayarifu wao kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya aina yoyote ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Afisa mkuu wa UN ajiuzulu kutokana na jinai za Israel
Mar 21, 2016 11:42Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, kutokana na kile alichokitaja kuwa ukosefu wa ushirikiano wa utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Ukosoaji wa Wapalestina kwa utendaji dhaifu wa UNRWA
Mar 21, 2016 00:20Ali Baraka, mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS nchini Lebanon amekosoa utendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) kuhusiana na wananchi wa Palestina.
-
Israeli yazidisha hujuma dhidi ya vyombo vya habari Palestina
Mar 19, 2016 04:20Shirika moja la kutetea uhuru wa kujieleza na haki za waandishi wa habari limefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha hujuma zake dhidi ya taasisi hiyo muhimu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jamii ya kimataifa yaendelea kuilaani Israel kwa kupora ardhi zaidi za Palestina
Mar 19, 2016 00:03Umoja wa Ulaya umejiunga na Umoja wa Mataifa katika kulaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupora ardhi zaidi za Wapalestina.
-
Uanachama rasmi wa Palestina katika Mahakama ya Kudumu ya Usuluhishi (PCA)
Mar 16, 2016 03:23Palestina imekuwa mwanachama rasmi wa Mahakama ya Kudumu ya Usuluhishi (PCA) yenye makao yake mjini The Hague, Uholanzi.
-
Israel yanyakua ardhi zaidi za Wapalestina
Mar 15, 2016 23:27Israel imenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hatua ambayo inakiuka sheria za kimataifa zinazoitaka iache kujitanua katika ardhi za Wapalestina.
-
Wazayuni wamzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia kuingia Palestina
Mar 13, 2016 21:54Utawala wa kizayuni wa Israel umemzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Retno Marsudi kuingia katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, ambapo alitazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Palestina.