-
UN yapinga maonyesho ya kipropaganda ya Israel
Apr 03, 2016 23:08Umoja wa Mataifa umepinga maonyesho ya picha za kipropaganda za utawala wa Kizayuni wa Israel katika makao makuu ya umoja huo mjini New York.
-
Wazayuni wazuia kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS
Apr 03, 2016 03:01Wizara ya Wakfu ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi uliopita wa Machi, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni walizuia mara chungu nzima kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS mjini Alkhalil.
-
Hamas yasisitiza kukombolewa Palestina
Mar 30, 2016 23:50Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuwa mapambano ndio njia pekee ya kukomboa ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Wazayuni wa Isarel.
-
Fat-h na Hamas zaafikiana kutekeleza maelewano ya kitaifa
Mar 30, 2016 02:31Mwakilishi wa Harakati ya Fat-h huko Ghaza amesema kuwa hakuna makubaliano mapya katika ajenda ya kazi, bali kile kilichopo ni kufikiwa makubaliano kuhusu utekelezaji wa maelewano ya kitaifa ya Palestina.
-
Mahmoud Abbas asisitiza kuundwa nchi huru ya Palestina
Mar 29, 2016 23:40Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza juu ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Umoja wa Mataifa watakiwa kuchunguza mauaji yanayofanywa dhidi ya Wapalestina
Mar 28, 2016 23:51Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeutaka Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya kidhalimu yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
HAMAS: Intifadha itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe
Mar 25, 2016 21:12Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Intifadha ya Quds itaendelea hadi malengo ya Wapalestina yafikiwe.
-
Israel yaendeleza ukatili wake, yaua shahidi Wapalestina 2
Mar 24, 2016 10:36Askari wa utawala wa kizayuni wa Israel wameua shahidi Wapestina wawili kwa kuwafyatulia risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza
Mar 23, 2016 21:42Wapiganaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ukanda wa Gaza kwa shabaha ya kuzidisha utayarifu wao kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya aina yoyote ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Afisa mkuu wa UN ajiuzulu kutokana na jinai za Israel
Mar 21, 2016 11:42Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, kutokana na kile alichokitaja kuwa ukosefu wa ushirikiano wa utawala wa kizayuni wa Israel.