-
Waungaji mkono wa Palestina wakatiza hotuba ya Harris
Oct 30, 2024 23:06Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wamekatiza hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Democratic, Kamala Harris wakati wa mkutano wake wa kampeni za uchaguzi wa rais huko Washington DC.
-
Wabotswana wapiga kura huku chama kilichotawala kwa miaka 58 kikiahidi 'mabadiliko'
Oct 30, 2024 09:08Wabotswana leo wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura kuchagua wabunge watakaomchagua rais, wakati chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) ambacho kimeiongoza nchi hiyo kwa miaka 58 kikitafuta ridhaa tena ya kubaki madarakani kwa muhula mwingine wa miaka mitano kwa kaulimbiu ya kuleta "mabadiliko".
-
Iran yalaani mauaji ya kinyama ya Israel Beit Lahiya
Oct 30, 2024 00:01Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jinai na hujuma ya umwagaji damu huko Bait Lahiya iliyofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
CNN: Jeshi la Israel linawatumia raia kama ngao za binadamu
Oct 27, 2024 04:24Televisheni ya CNN ya Marekani imesema katika mahojiano na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni na raia kadhaa wa Palestina na kufichua kuhusu kutumiwa kwa makusudi raia wa Kipalestina kama ngao ya binadamu.
-
Jihadul Islami yakanusha madai ya kuuawa Ziyad al-Nakhalah
Oct 22, 2024 03:35Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imekadhibisha madai kwamba, Katibu Mkuu wa kundi hilo la Muqawama ameuawa katika shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Shambulio kubwa lililofanywa na Israel bila ya onyo lolote laua Wapalestina 81 Ghaza
Oct 20, 2024 03:15Wapalestina wasiopungua 81 wameuawa shahidi katika shambulizi la kinyama lililofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mji wa Beit Lahiya kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Reuters: BRICS kujadili mpango mpya wa kimataifa wa mabadilishano ya fedha
Oct 20, 2024 03:11Russia itawasilisha pendekezo lake la mfumo mpya wa fedha wa kimataifa kwa mataifa mengine wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya BRICS katika mkutano wa kilele wa kundi hilo utakaofanyika wiki ijayo nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia alaani vikali mauaji ya Sinwar, asema nchi yake inaomboleza
Oct 19, 2024 23:16Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amelaani vikali mauaji ya kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar yaliyofanywa na vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Nchi za Amerika ya Kusini zaunga mkono Palestina
Oct 10, 2024 04:12Wanachama wa Muungano wa ALBA huko Amerika ya Kusini wameunga mkono muqawama wa Palestina dhidi ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni.
-
Ripoti: US imetumia $ bilioni 22 kuisaidia kijeshi Israel tangu Oktoba 7, kiwango halisi ni zaidi
Oct 08, 2024 22:57Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 22 kwa ajili ya misaada ya kijeshi inayoupatia utawala wa Kizayuni wa Israel na kufadhili uvamizi na mashambulio yaliyofanywa na utawala huo haramu katika eneo hili kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.