Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Maandamano makubwa ya wananchi wa Yemen kuiunga mkono Palestina

    Maandamano makubwa ya wananchi wa Yemen kuiunga mkono Palestina

    Dec 08, 2023 11:40

    Wananchi wa Yemen leo asubuhi wamefanya maandamano kadhaa na kusisitiza udharura wa kuendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina mkabala wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran: Israel inawajihiwa na siku za kutisha kutokana na majibu makali ya muqawama

    Iran: Israel inawajihiwa na siku za kutisha kutokana na majibu makali ya muqawama

    Dec 07, 2023 00:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema wanamapambano wa makundi ya muqawama ya Palestina wameendelea kutoa majibu makali na ya nguvu kwa uvamizi wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, na kwamba mwenendo wa majibu hayo utauweka utawala wa Kizayuni kwenye hali mbaya katika siku zijazo.

  • Balozi wa Iran UN: Uingereza imekuwa na nafasi kuu katika mateso ya muda mrefu ya wananchi wa Palestina

    Balozi wa Iran UN: Uingereza imekuwa na nafasi kuu katika mateso ya muda mrefu ya wananchi wa Palestina

    Dec 05, 2023 08:15

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya Iran zilizotolewa na Mwakilishi wa Uingereza na kusisitiza kuwa: Uingereza imekuwa na nafasi kuu katika kuteseka na kutaabika kwa muda mrefu raia wa Palestina.

  • Israel yashambulia kwa mabomu shule 2 Gaza, 50 wauawa shahidi

    Israel yashambulia kwa mabomu shule 2 Gaza, 50 wauawa shahidi

    Dec 05, 2023 03:24

    Vikosi vya utawala haramu wa Israel vimeshambulia kwa mabomu shule mbili katika Ukanda wa Gaza na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.

  • Mashirika ya haki Palestina yaonya kuhusu 'Nakba ya Pili' Gaza

    Mashirika ya haki Palestina yaonya kuhusu 'Nakba ya Pili' Gaza

    Dec 05, 2023 03:22

    Mashirika matatu ya kutetea haki za binadamu ya Palestina yameashiria hatua ya Israel ya kuwafukuza kwa umati Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa, utawala huo wa Kizayuni unapanga kukariri Nakba ya pili katika eneo hilo lililozingirwa.

  • Piga nikupige baada ya usitisjai vita wa muda katika Ukanda wa Ghaza

    Piga nikupige baada ya usitisjai vita wa muda katika Ukanda wa Ghaza

    Dec 04, 2023 03:57

    Hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kushambulia kinyama kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Ghaza kwa kutumia mabomu ya fosforasi na sambamba na kutumwa mabomu mapya kutoka Marekani kwa utawala huo ghasibu ni miongoni mwa matukio ya hivi karibuni kuhusiana na Palestina.

  • Raisi: Msingi wa uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ni Katiba

    Raisi: Msingi wa uungaji mkono wa Iran kwa Palestina ni Katiba

    Dec 03, 2023 09:03

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ndio msingi wa taifa hili kuiunga mkono Palestina na Ukanda wa Gaza ambao hivi sasa unakabiliwa na mashambulizi ya Wazayuni.

  • Mufti wa Yemen: Kimbunga cha al-Aqsa, kipigo cha karne dhidi ya Uzayuni

    Mufti wa Yemen: Kimbunga cha al-Aqsa, kipigo cha karne dhidi ya Uzayuni

    Dec 03, 2023 07:11

    Mufti Mkuu wa Yemen amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imedhihirisha msimamo thabiti na uwezo mkubwa wa mrengo wa muqawama wa Palestina, na kwamba operesheni hiyo kilikuwa kipigo cha karne dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Kan'ani Chafi: Mashambulio mapya dhidi ya Gaza ni kashfa kubwa ya kimaadili kwa Marekani

    Kan'ani Chafi: Mashambulio mapya dhidi ya Gaza ni kashfa kubwa ya kimaadili kwa Marekani

    Dec 02, 2023 23:45

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameandika katika kujibu idhini ya Marekani kwa mashambulizi mapya yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza kwamba, hii ni kashfa kubwa ya kimaadili kwa serikali ya Marekani na imeonyesha sura halisi ya haki za binadamu ya Washington kwa walimwengu.

  • Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Asia Magharibi na kadhia ya Palestina.

    Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Asia Magharibi na kadhia ya Palestina.

    Dec 02, 2023 00:50

    Akizungumza siku ya Jumatano tarehe 29 Novemba katika kikao na askari wa kujitolea mashuhuri kama Basij kutoka pembe zote za nchi, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amegusia nukta kadhaa muhimu kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na kadhia ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS