Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Idadi ya Wapalestina waliouawa Gaza yapindukia 7000

    Idadi ya Wapalestina waliouawa Gaza yapindukia 7000

    Oct 26, 2023 09:41

    Ofisi ya Habari ya serikali huko Gaza Palestina imetangaza kuwa, idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu utawala haramu wa Israel ulipoanza kufanya mashambulio ya anga katika Ukanda wa Gaza imepindukia 7000 huku makumi ya maelfu ya wengine wakiwa wamejeruhiwa au kutoweka.

  • Brigedi za Qassam zatungua helikopta ya Israel Ukanda wa Gaza

    Brigedi za Qassam zatungua helikopta ya Israel Ukanda wa Gaza

    Oct 26, 2023 08:53

    Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza habari ya kufanikiwa kutungua helikopta ya utawala haramu wa Israel, ikiwa ni kuendelea kujibu jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Erdogan: HAMAS si kundi la magaidi, bali wapigania ukombozi

    Erdogan: HAMAS si kundi la magaidi, bali wapigania ukombozi

    Oct 26, 2023 08:53

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amefuta safari yake ya kuzitembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel na kusisitiza kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS si kundi la magaidi, bali ni kundi la wapigania ukombozi.

  • Ajuza Muisrael aliyekuwa mateka asimulia alivyokirimiwa na wapiganaji wa HAMAS+VIDEO

    Ajuza Muisrael aliyekuwa mateka asimulia alivyokirimiwa na wapiganaji wa HAMAS+VIDEO

    Oct 24, 2023 11:02

    Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina.

  • Amir wa Qatar: Dunia isiipe Israel leseni ya kuwaua Wapalestina

    Amir wa Qatar: Dunia isiipe Israel leseni ya kuwaua Wapalestina

    Oct 24, 2023 10:24

    Amir wa Qatar amesema anatiwa wasiwasi na hatua ya Israel ya kushadidisha jinai na mashambulizi katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuiasa jamii ya kimataifa isiupe leseni utawala huo wa Kizayuni ya kuwaua shahidi wananchi wa Palestina.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kusitishwa haraka jinai za utawala wa Kizayuni; azungumza na Hania na Al Nakhaleh

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kusitishwa haraka jinai za utawala wa Kizayuni; azungumza na Hania na Al Nakhaleh

    Oct 23, 2023 09:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu kwa nyakati tofauti na viongozi wa muqawama wa Palestina na kusisitiza kusitishwa haraka iwezekanavyo jinai za utawala wa Kizayuni za mauaji dhidi ya raia wa Palestina.

  • Idadi ya mashahidi wa Gaza Palestina yafikia 5087

    Idadi ya mashahidi wa Gaza Palestina yafikia 5087

    Oct 23, 2023 08:40

    Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa, zaidi ya Wapalestina 5,000 wameuawa shahidi na wengine zaidi ya 15,000 kujeruhiwa kutokana na hujuma na mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Viongozi wa nchi za Kiarabu walaani mashambulizi ya Israel huko Gaza, wahimiza juhudi mpya za amani Palestina

    Viongozi wa nchi za Kiarabu walaani mashambulizi ya Israel huko Gaza, wahimiza juhudi mpya za amani Palestina

    Oct 21, 2023 23:50

    Viongozi wa nchi za Kiarabu wametoa wito wa kuanzishwa upya juhudi za amani kati ya Israel na Palestina ili kukomesha uvamizi wa Israel na kutatua mzozo unoendelea kwa miongo kadhaa kati ya pande hizo mbili, huku utawala haramu Israel ukiendeleza mashambulizi ya kikatili dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

  • Mkutano wa amani wa kutatua mzozo wa Hamas na utawala wa Kizayuni wa Israel unafanyika Cairo

    Mkutano wa amani wa kutatua mzozo wa Hamas na utawala wa Kizayuni wa Israel unafanyika Cairo

    Oct 21, 2023 10:54

    Mkutano wa kimataifa wa amani umeanza leo asubuhi mjini Cairo, Misri, ambapo viongozi wa kiserikali kutoka mataifa mbalimbali pamoja na taasisi za kimataifa walianza kujadili maendeleo na mustakabali wa mzozo wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Zakzaky: Mauaji ya halaiki ya Gaza yanaonesha udhaifu wa Israel

    Zakzaky: Mauaji ya halaiki ya Gaza yanaonesha udhaifu wa Israel

    Oct 19, 2023 23:28

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema mauaji makubwa ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza yameonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel una udhaifu mkubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS