-
Undani wa oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa kwa upande wa kijeshi na kiitelijinsia
Oct 09, 2023 04:43Makundi ya muqawama ya Palestina yenye makao katika Ukanda wa Ghaza yaani harakati ya Hamas na harakati nyingine za Palestina khususan Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina juzi Jumamosi tarehe 7 Oktoba yalianzisha oparesheni kwa jina la Kimbunga cha Al Aqsa dhidi ya utawala wa Kizayuni; oparesheni iliyouduwaza kikamilifu utawala huo na kuwashtua pakubwa Wazayuni.
-
"Operesheni ya al-Aqsa imegeuza ndoto ya kuporomoka Israel kuwa uhalisia"
Oct 09, 2023 03:50Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ndoto na jinamizi la kuangamia na kupomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel sasa imegeuka kuwa hali halisi kutokana na Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Idadi ya vifo vya Wazayuni yaongezeka hadi watu 1000
Oct 09, 2023 02:07Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, idadi ya Wazayuni waliouawa katika operesheni za hivi karibuni za wapiganaji wa muqawama wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu imefikia 1000.
-
Misri na Russia zasisitiza kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Oct 08, 2023 03:08Katika mazungumzo ya simu, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Russia wamesisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Wananchi wa Iran washerehekea ushindi wa kihistoria wa Wapalestina + Video
Oct 07, 2023 23:56Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.
-
Iran yapongeza na kutangaza uungaji mkono kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Oct 07, 2023 11:39Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwa kusema: "tunaunga mkono Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na tuna hakika kwamba kambi ya Muqawama pia inaunga mkono suala hili".
-
Askari makatili wa Israel wawaua shahidi vijana 2 wa Kipalestina Tulkarm
Oct 05, 2023 23:17Wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina katika mji Tulkarm, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Askofu Mkuu Hanna: Ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wakristo umeongezeka kutokana na kimya cha Wamagharibi
Oct 05, 2023 04:31Atallah Hanna, Askofu Mkuu wa Wakristo wa Orthodox huko Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem), amesema kwamba Wakristo wa Quds wamo hatarini zaidi kuliko hapo awali.
-
HAMAS yataka kuendelezwa muqawama dhidi ya Wazayuni
Sep 30, 2023 01:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuna haja ya kuendeleza muqawama na mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Askari wa Israel wawashambulia waandamanaji wa Kipalestina, 30 wajeruhiwa
Sep 23, 2023 04:11Wanajeshi makatili wa utawala haramu wa Israel wamewashambulia waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi 30 miongoni mwao.